Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu. Ameharibu ndoto zangu, najiona si binadamu tena

Umeandika vema pongezi đź‘Źđź‘Ź
Pole sana kwa unayopitia ndugu!

Napenda tu nkupe ushauri huu kama utaona ni mzuri na unaweza kusaidia basi jaribu kufanya hivi

Umesema umeona Mwenyezi Mungu akitenda katika masomo yako ndio maana umekuja hapa JF kutoa ushuhuda eti? ndio ametenda sasa fanya hivi

Katika maombi yako ya kila siku mueleze Mungu kwamba unahitaji kuendelea na safari muonyeshe yakuwa unaye mtoto ambaye unampenda mwambie kuwa unahitaji kuona akiwa na furaha vivyo hivyo kwako. Basi yeye atakupatia faraja katika namna yake na atakuimalisha pia

Ombi langu ni kuwa usimweleze ya kuwa ni mtu gani wamuitaji nasema hivi kwa sababu yeye alishaandika stori nzuri ya maisha yako ata kabla ya wewe kuwepo hapa

Unachokiona kwa sasa huenda yasiwe mateso labda ni ukurasa tu katika kitabu cha maisha yako lipokee tu hili najua zipo bado kurasa nyingi tu zenye tumaini, faraja na ushindi .

Mwisho kabisa fanya ibada kwenye Mwenyezi Mungu mueleze kila hatua uliyopo mwonyeshe jitihada zako katika kukabili kila unalopitia na kuwa mwenye subra

Poleni sana na Asanteni!
 
Muamini Mungu katika maisha yako, nilikuwa na mwanaume ambaye tulipendana sana tukaahidina mambo mengi sana ya kufanya katika maisha mwezangu ikaonekana ana elimu ya juu yaani PHD Mimi certificate, nilivyoona ndugu zake wanaongea ongea juu ya elimu yangu kuwa ni ndogo siendani na mtoto wao nikawaza kwenda kusoma, wakati huo tayari ameshanizalisha mtoto mmoja, hali kipindi nimefika chuo ilikuwa ni mbaya nikaanza kuumwa na kukata tamaa ya kusoma kila siku zilivyozidi kwenda na mwanaume akaanza kunisumbua hanihitaji kwani ana mwanamke mwingine niliumia kila siku.

Nilisoma kwa mawazo sana ila sikukata tamaa nililia kila siku na kumuomba Mungu anisaidie. Alianza kubadilika nilivyokuwa cheti yaani mwaka wa kwanza akanambia naomba tulee mtoto tu ila sio vingine nilipata uchungu sana kwani afya yangu ilizorota nilikonda sana nilionekana mtu mwenye mawazo sana, mtoto kwa sasa anaishi na ndugu mikoa jirani kwakweli haya matokeo ni Mungu tu kwani kila siku baada ya kufanya mitihani yangu nilimkadhi Mungu.

Nikamwambia Ee mungu Mimi sina uwezo juu ya mitihani ninayofanya nahitaji nguvu zako tu kwasababu nilipoteza nguvu za kusoma kabisa nilikuwa nasoma laxury tu ilimradi kusoma nakuingia kwenye chumba cha mtihani na nilikuwa muoga wa kutumia chabo nikizidi kuhofia maisha yangu endapo nikikamatwa utakuwa mwisho wa maisha ya shule

Hivyo ilibidi kila mtihani nitumie nguvu zangu lakini kupitia misukosuko ambayo siwezi kuelezea hapa juu ya kunyanyaswa na huyu mpenzi wangu kipindi nipo chuo hizi max naweza sema ni Mungu amenitendea miujiza kwani haikuwa rahisi. Tumuombe Mungu kwa kila jambo tutafanikiwa. Cheti semi one GPA 3.4 semi two GPA 3.4 mwaka wa pili semi one 2.8 hii sem niliumwa nusu kufa nilipanga nijifelishe badae roho ikagoma, semi two 3.1 mwaka wa tatu semi one 3.6 na saizi nipo semi ya mwisho lakini bado naendelea kunyanyaswa na uyo mpenzi akidai ana mke coz kipindi iki chote nilikuwa namwomba turudiane kwasababu tuna mtoto lakini bado anaonesha kutojali.

Anadai asha move on natamani hata kwenda degree lakini nawaza nguvu za kusoma zimeniisha na mtoto atazidi kuteseka bora niishie diploma. Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu yote kwani amekatiza ndoto zangu za maisha najiona sio binadamu tena kwa sasa nimekuwa nikikataa sana wanaume nikiwa na imani tutarudiana lakini mwaka wa pili sasa hali ni mbaya. Nimekata tamaa.
Ulikuwa na ndoto gani, kuwa mke wa mtu?
 
Napenda sanaa walokole kwa kupeana matumaini hawajambo
 
Story yako haijakamilika.Tueleze ulimkosea nini? Hakuna mwanaume anapenda kuona mtoto wake akipata malezi bila wazazi wote kuwa pamoja.Lazima utakuwa na kasoro kubwa kitabia.Jichunguze
Kuna Uzi wa kimasihara,
Kaelezea alivyoliwa kimasihara na LECTURERS wake chuoni.

Kiufupi uyu binti hafai kua mke,
Analika kienyeji Sana utadhani Bata mzinga.

Jamaa aliona mbali
 
Muamini Mungu katika maisha yako, nilikuwa na mwanaume ambaye tulipendana sana tukaahidina mambo mengi sana ya kufanya katika maisha mwezangu ikaonekana ana elimu ya juu yaani PHD Mimi certificate, nilivyoona ndugu zake wanaongea ongea juu ya elimu yangu kuwa ni ndogo siendani na mtoto wao nikawaza kwenda kusoma, wakati huo tayari ameshanizalisha mtoto mmoja, hali kipindi nimefika chuo ilikuwa ni mbaya nikaanza kuumwa na kukata tamaa ya kusoma kila siku zilivyozidi kwenda na mwanaume akaanza kunisumbua hanihitaji kwani ana mwanamke mwingine niliumia kila siku.

Nilisoma kwa mawazo sana ila sikukata tamaa nililia kila siku na kumuomba Mungu anisaidie. Alianza kubadilika nilivyokuwa cheti yaani mwaka wa kwanza akanambia naomba tulee mtoto tu ila sio vingine nilipata uchungu sana kwani afya yangu ilizorota nilikonda sana nilionekana mtu mwenye mawazo sana, mtoto kwa sasa anaishi na ndugu mikoa jirani kwakweli haya matokeo ni Mungu tu kwani kila siku baada ya kufanya mitihani yangu nilimkadhi Mungu.

Nikamwambia Ee mungu Mimi sina uwezo juu ya mitihani ninayofanya nahitaji nguvu zako tu kwasababu nilipoteza nguvu za kusoma kabisa nilikuwa nasoma laxury tu ilimradi kusoma nakuingia kwenye chumba cha mtihani na nilikuwa muoga wa kutumia chabo nikizidi kuhofia maisha yangu endapo nikikamatwa utakuwa mwisho wa maisha ya shule

Hivyo ilibidi kila mtihani nitumie nguvu zangu lakini kupitia misukosuko ambayo siwezi kuelezea hapa juu ya kunyanyaswa na huyu mpenzi wangu kipindi nipo chuo hizi max naweza sema ni Mungu amenitendea miujiza kwani haikuwa rahisi. Tumuombe Mungu kwa kila jambo tutafanikiwa. Cheti semi one GPA 3.4 semi two GPA 3.4 mwaka wa pili semi one 2.8 hii sem niliumwa nusu kufa nilipanga nijifelishe badae roho ikagoma, semi two 3.1 mwaka wa tatu semi one 3.6 na saizi nipo semi ya mwisho lakini bado naendelea kunyanyaswa na uyo mpenzi akidai ana mke coz kipindi iki chote nilikuwa namwomba turudiane kwasababu tuna mtoto lakini bado anaonesha kutojali.

Anadai asha move on natamani hata kwenda degree lakini nawaza nguvu za kusoma zimeniisha na mtoto atazidi kuteseka bora niishie diploma. Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu yote kwani amekatiza ndoto zangu za maisha najiona sio binadamu tena kwa sasa nimekuwa nikikataa sana wanaume nikiwa na imani tutarudiana lakini mwaka wa pili sasa hali ni mbaya. Nimekata tamaa.

Ulisoma kwa ajili yake: sasa mnaachana; Kama Huna hela ya kusoma fanya mambo mengine na ulee mtoto!
 
Kuna Uzi wa kimasihara,
Kaelezea alivyoliwa kimasihara na LECTURERS wake chuoni.

Kiufupi uyu binti hafai kua mke,
Analika kienyeji Sana utadhani Bata mzinga.

Jamaa aliona mbali
Sasa mwanamke wa aina hii unawezaje kumuweka ndani ufe kwa presha??

Kisa mtoto? Hakuna mwanaume yupo tayari kuishi na mwanamke mzinzi.Bora uwe mchawi,mnafiki,mchafu n.k Lakini sio kupeleka utamu kwa kidume kingine,Hata Biblia imehalalisha hilo!

Huyu mwanamke anaonekana hana akili.Yaani akapanue mapaja kwa Lecturer alafu ategemee Baba mtoto atamuelewa??

Kweli wanawake wengine hawana akili.
 
Muamini Mungu katika maisha yako, nilikuwa na mwanaume ambaye tulipendana sana tukaahidina mambo mengi sana ya kufanya katika maisha mwezangu ikaonekana ana elimu ya juu yaani PHD Mimi certificate, nilivyoona ndugu zake wanaongea ongea juu ya elimu yangu kuwa ni ndogo siendani na mtoto wao nikawaza kwenda kusoma, wakati huo tayari ameshanizalisha mtoto mmoja, hali kipindi nimefika chuo ilikuwa ni mbaya nikaanza kuumwa na kukata tamaa ya kusoma kila siku zilivyozidi kwenda na mwanaume akaanza kunisumbua hanihitaji kwani ana mwanamke mwingine niliumia kila siku.

Nilisoma kwa mawazo sana ila sikukata tamaa nililia kila siku na kumuomba Mungu anisaidie. Alianza kubadilika nilivyokuwa cheti yaani mwaka wa kwanza akanambia naomba tulee mtoto tu ila sio vingine nilipata uchungu sana kwani afya yangu ilizorota nilikonda sana nilionekana mtu mwenye mawazo sana, mtoto kwa sasa anaishi na ndugu mikoa jirani kwakweli haya matokeo ni Mungu tu kwani kila siku baada ya kufanya mitihani yangu nilimkadhi Mungu.

Nikamwambia Ee mungu Mimi sina uwezo juu ya mitihani ninayofanya nahitaji nguvu zako tu kwasababu nilipoteza nguvu za kusoma kabisa nilikuwa nasoma laxury tu ilimradi kusoma nakuingia kwenye chumba cha mtihani na nilikuwa muoga wa kutumia chabo nikizidi kuhofia maisha yangu endapo nikikamatwa utakuwa mwisho wa maisha ya shule

Hivyo ilibidi kila mtihani nitumie nguvu zangu lakini kupitia misukosuko ambayo siwezi kuelezea hapa juu ya kunyanyaswa na huyu mpenzi wangu kipindi nipo chuo hizi max naweza sema ni Mungu amenitendea miujiza kwani haikuwa rahisi. Tumuombe Mungu kwa kila jambo tutafanikiwa. Cheti semi one GPA 3.4 semi two GPA 3.4 mwaka wa pili semi one 2.8 hii sem niliumwa nusu kufa nilipanga nijifelishe badae roho ikagoma, semi two 3.1 mwaka wa tatu semi one 3.6 na saizi nipo semi ya mwisho lakini bado naendelea kunyanyaswa na uyo mpenzi akidai ana mke coz kipindi iki chote nilikuwa namwomba turudiane kwasababu tuna mtoto lakini bado anaonesha kutojali.

Anadai asha move on natamani hata kwenda degree lakini nawaza nguvu za kusoma zimeniisha na mtoto atazidi kuteseka bora niishie diploma. Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu yote kwani amekatiza ndoto zangu za maisha najiona sio binadamu tena kwa sasa nimekuwa nikikataa sana wanaume nikiwa na imani tutarudiana lakini mwaka wa pili sasa hali ni mbaya. Nimekata tamaa.

Unawezaje kulazimisha kurudiana na mtu asiekutaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wewe umeumizwa na kuharibiwa ndoto zako na sisi wengine ndoto zetu zimeharibiwa na mwanamke.

So usi generalize tatizo lako ishu ni kwamba hakua mtu sahihi kwako if you can move on just move ila Kama Kuna nafasi yakuridisha ndoa just do it
 
Sasa mwanamke wa aina hii unawezaje kumuweka ndani ufe kwa presha??

Kisa mtoto? Hakuna mwanaume yupo tayari kuishi na mwanamke mzinzi.Bora uwe mchawi,mnafiki,mchafu n.k Lakini sio kupeleka utamu kwa kidume kingine,Hata Biblia imehalalisha hilo!

Huyu mwanamke anaonekana hana akili.Yaani akapanue mapaja kwa Lecturer alafu ategemee Baba mtoto atamuelewa??

Kweli wanawake wengine hawana akili.
Yaani siku hizi kumejaa mapumbavu tuuu hakuna mwanamke was kuoa
 
Muamini Mungu katika maisha yako, nilikuwa na mwanaume ambaye tulipendana sana tukaahidina mambo mengi sana ya kufanya katika maisha mwezangu ikaonekana ana elimu ya juu yaani PHD Mimi certificate, nilivyoona ndugu zake wanaongea ongea juu ya elimu yangu kuwa ni ndogo siendani na mtoto wao nikawaza kwenda kusoma, wakati huo tayari ameshanizalisha mtoto mmoja, hali kipindi nimefika chuo ilikuwa ni mbaya nikaanza kuumwa na kukata tamaa ya kusoma kila siku zilivyozidi kwenda na mwanaume akaanza kunisumbua hanihitaji kwani ana mwanamke mwingine niliumia kila siku.

Nilisoma kwa mawazo sana ila sikukata tamaa nililia kila siku na kumuomba Mungu anisaidie. Alianza kubadilika nilivyokuwa cheti yaani mwaka wa kwanza akanambia naomba tulee mtoto tu ila sio vingine nilipata uchungu sana kwani afya yangu ilizorota nilikonda sana nilionekana mtu mwenye mawazo sana, mtoto kwa sasa anaishi na ndugu mikoa jirani kwakweli haya matokeo ni Mungu tu kwani kila siku baada ya kufanya mitihani yangu nilimkadhi Mungu.

Nikamwambia Ee mungu Mimi sina uwezo juu ya mitihani ninayofanya nahitaji nguvu zako tu kwasababu nilipoteza nguvu za kusoma kabisa nilikuwa nasoma laxury tu ilimradi kusoma nakuingia kwenye chumba cha mtihani na nilikuwa muoga wa kutumia chabo nikizidi kuhofia maisha yangu endapo nikikamatwa utakuwa mwisho wa maisha ya shule

Hivyo ilibidi kila mtihani nitumie nguvu zangu lakini kupitia misukosuko ambayo siwezi kuelezea hapa juu ya kunyanyaswa na huyu mpenzi wangu kipindi nipo chuo hizi max naweza sema ni Mungu amenitendea miujiza kwani haikuwa rahisi. Tumuombe Mungu kwa kila jambo tutafanikiwa. Cheti semi one GPA 3.4 semi two GPA 3.4 mwaka wa pili semi one 2.8 hii sem niliumwa nusu kufa nilipanga nijifelishe badae roho ikagoma, semi two 3.1 mwaka wa tatu semi one 3.6 na saizi nipo semi ya mwisho lakini bado naendelea kunyanyaswa na uyo mpenzi akidai ana mke coz kipindi iki chote nilikuwa namwomba turudiane kwasababu tuna mtoto lakini bado anaonesha kutojali.

Anadai asha move on natamani hata kwenda degree lakini nawaza nguvu za kusoma zimeniisha na mtoto atazidi kuteseka bora niishie diploma. Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu yote kwani amekatiza ndoto zangu za maisha najiona sio binadamu tena kwa sasa nimekuwa nikikataa sana wanaume nikiwa na imani tutarudiana lakini mwaka wa pili sasa hali ni mbaya. Nimekata tamaa.
Huyu mjinga mwenye PhD asikupotezee muda wala kukukatisha tamaa. Amesoma bila kuelimika. Angalia unachotaka maishani ukifanye na kujipanga upya. Kama amekudhulumu malipo ni hapa hapa duniani. We kaza buti usonge mbele badala ya kuishi kwenye majuto japo nawe kuna makosa uliyofanya kujiingiza bila kuyazingatia na kuyapatia majibu. Muhimu, umejifunza kitu na kupata somo na uzoefu. Kila la heri
 
Mo
Muamini Mungu katika maisha yako, nilikuwa na mwanaume ambaye tulipendana sana tukaahidina mambo mengi sana ya kufanya katika maisha mwezangu ikaonekana ana elimu ya juu yaani PHD Mimi certificate, nilivyoona ndugu zake wanaongea ongea juu ya elimu yangu kuwa ni ndogo siendani na mtoto wao nikawaza kwenda kusoma, wakati huo tayari ameshanizalisha mtoto mmoja, hali kipindi nimefika chuo ilikuwa ni mbaya nikaanza kuumwa na kukata tamaa ya kusoma kila siku zilivyozidi kwenda na mwanaume akaanza kunisumbua hanihitaji kwani ana mwanamke mwingine niliumia kila siku.

Nilisoma kwa mawazo sana ila sikukata tamaa nililia kila siku na kumuomba Mungu anisaidie. Alianza kubadilika nilivyokuwa cheti yaani mwaka wa kwanza akanambia naomba tulee mtoto tu ila sio vingine nilipata uchungu sana kwani afya yangu ilizorota nilikonda sana nilionekana mtu mwenye mawazo sana, mtoto kwa sasa anaishi na ndugu mikoa jirani kwakweli haya matokeo ni Mungu tu kwani kila siku baada ya kufanya mitihani yangu nilimkadhi Mungu.

Nikamwambia Ee mungu Mimi sina uwezo juu ya mitihani ninayofanya nahitaji nguvu zako tu kwasababu nilipoteza nguvu za kusoma kabisa nilikuwa nasoma laxury tu ilimradi kusoma nakuingia kwenye chumba cha mtihani na nilikuwa muoga wa kutumia chabo nikizidi kuhofia maisha yangu endapo nikikamatwa utakuwa mwisho wa maisha ya shule

Hivyo ilibidi kila mtihani nitumie nguvu zangu lakini kupitia misukosuko ambayo siwezi kuelezea hapa juu ya kunyanyaswa na huyu mpenzi wangu kipindi nipo chuo hizi max naweza sema ni Mungu amenitendea miujiza kwani haikuwa rahisi. Tumuombe Mungu kwa kila jambo tutafanikiwa. Cheti semi one GPA 3.4 semi two GPA 3.4 mwaka wa pili semi one 2.8 hii sem niliumwa nusu kufa nilipanga nijifelishe badae roho ikagoma, semi two 3.1 mwaka wa tatu semi one 3.6 na saizi nipo semi ya mwisho lakini bado naendelea kunyanyaswa na uyo mpenzi akidai ana mke coz kipindi iki chote nilikuwa namwomba turudiane kwasababu tuna mtoto lakini bado anaonesha kutojali.

Anadai asha move on natamani hata kwenda degree lakini nawaza nguvu za kusoma zimeniisha na mtoto atazidi kuteseka bora niishie diploma. Najuta kuwa na huyu mwanaume katika maisha yangu yote kwani amekatiza ndoto zangu za maisha najiona sio binadamu tena kwa sasa nimekuwa nikikataa sana wanaume nikiwa na imani tutarudiana lakini mwaka wa pili sasa hali ni mbaya. Nimekata tamaa.
Yaan wewe soma usikate tamaa,fyta mawazo kuwa mtarudiane,tuko wengi single mother na tushakubali hili cha muhimu soma na degree kabisa mwanaume akishaamua maamuz ameamua ,Mungu atakupa mwingne tena atakufuta machoz.
 
Mwanaume uliyeandikiwa na Mungu atakuja kwa wakati wake, usilazimishe mapenzi. Jirani yetu alimpa mimba house girl wa mtu, mkaka alikuwa mwanafunzi wa Civil Engineering mwaka wa mwisho.

Dada alifukuzwa kwa boss wake, alimuendea mhusika. Yule kaka akimuweka binti guest mpaka anapata chumba. Walianza maisha vyombo wanaweka kwenye basin hawana hata kabati.

Baada ya kumaliza chuo yule kaka alipata kazi na walipata nyumba nzima walitokea kuwa jirani zetu. Yule dada alitusimulia walikotoka. Wakati huo akijifunza kuendesha gari mume wake alimnunulia.
a credible story..
 
Back
Top Bottom