Najuta kuwa kuongozwa na kiongozi kama kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najuta kuwa kuongozwa na kiongozi kama kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JIULIZE KWANZA, Jun 7, 2011.

 1. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana jamvi poleni na majukumu,

  Mod naomba usi ni ban..nawakilisha ninachoamini na wala sina interest na chama chochote wala sijamtukana mtu,

  Nashindwa kuelewa wala kuamini uongozi huu kwa tabia zao.
  1. kikwete ni mtu wa kulalamika na asiyejua majukumu yake wala shida za wananchi wake zaidi ya kulalama bila kuwa na solution ya matatizo ya taifa lake,
  2. Pinda hana msimamo kwa kuhofia maslahi yake, ni mtu asiyejua kusimamia mamlaka aliye pewa badala yake anakuwa puppet wa Rachel huyu nae ni bigwa wa kulalamika na kulia in public hii ni aibu,
  3. Anna Makinda hajui wajibu wake na huwa ana ustaarabu wala uzalendo kwenye hoja za msingi bungeni bali kutetea maslahi ya wakuu wake na sio wananchi,
  4. Mwanasheria mkuu, mamlaka za mahakama vyombo vya ulinzi na usalama vote vimegeuka step stone ya hawa ma Rachel kujinufaisha,
  Naamini jk he has nothing to lose but i m sure that one day he will be punished for this. kama amesahau akili ya kuambiwa kuwa anatakiwa achanganye na yake shauri yake
   
 2. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ndugu natamani ningejua uwezo wako na kazi yako unayofanya.
  Inaonekana uko na dharau sana. Haiwezekani hao wote hawajui. Na unalalamika tu bila kutoa ushaidi wa nini wameshindwa na wangefanyaje.
  Acha jazba na dharau ndg. Utakufa siku si zako,
  Ushauri: fanya kazi zako kwa bidii ujenge future yako na familia yako.
   
 3. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Kaka wenzio tulishaanza kujuta tokea 2005
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Ni kiongoz anaetaka kunichonganisha na viongozi wa dini yangu, anapenda kuropoka sana!
   
 5. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh msomi wewe na rais wako wenye GPA 2.6 Na akapew u Dr.

  Nakujibu kwenye red mark.

  1. kufa mapema sijali japo najua kuua ndio sera ya magamba.
  2. uwezo wangu na nafasi yangu ya kazi huitaji kujua changia hoja uwezi chapa yebo.
  3. nina dharau sana kwa watu wasio stahili kuheshimiwa.
  4. moja ya kazi zangu ninazofanya kwa future yangu na familia yangu ni kuuondoa uongozi wa magamba madarakani ili watoto wangu wawe na future nzuri.
  5. ni ushahidi upi unaoutaka wa hao niliowataja wameshindwa kazi zao? wewe ni Nape family puppet kula kona
   
 6. M

  MPG JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi najuta maisha yangu yote CCM KUONGOZA NCHI,Magamba yanaifirisi nchi,ANGUKO LA CCM LIMETIMIA
   
 7. kyangara

  kyangara Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Chapa lapa wewe ndio gamba uliyetumwa na bwanako Nape
   
 8. k

  kijana Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu..tunaomba mwneye speech ya rais kuhusu," miaka mitano ya uchumi na maendeleo"..au video.please..aliyotoa jana..
   
 9. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Je, Ulipiga kura lakini:confused2:
   
 10. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Hii ndiyo ile misukule anayozungumzia Nape
   
 11. ndenga

  ndenga JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 1,695
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Operation Ondoa Gamba.. imeshindikana...! Naona wakuu walikadiria vibaya ukubwa wa gamba sasa wanajipanga upya na operation tetea magamba.
   
 12. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wamepoteza muelekeo na hata hao mamuluki waliowatuma huku akina fox etc hawana taaluma ya kuteka hisia za watu bali wana taaluma ya mipasho kama Dr Magamba wao...
   
 13. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mi najuta kuwa sisi Watanzania tuliramba Garasa 2005 badala ya mzungu, halafu 2010 tukarambishwa tena kinguvu Garasa na Tendwa. Tutajijutia na tutajuta sana kuwa tumeingia na tumeingizwa mkenge . Kikwete sio Kiongozi
   
 14. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  2015 hakuna kulamba garasha lazima kieleweke tena kwa speed hii magamba waliyonayo wanaweza wasitoboe 2015 mark my word..
   
 15. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwa bei rahisi ya kilo ya sukari, khanga na fulana. Waliobahatika zaidi walipata na buku mbili
   
 16. m

  marinabahati Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Badala ya kujuta ungetafuta nchi nyingine uhamie
   
 17. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Hata mama yangu alimpa Kikwete kura ila anaijutia sana kura yake kwani hakujua kama mafuta ya taa yangepandishwa hivyo...
   
 18. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tusiogope vitisho kwa pamoja tusonge mbele tuikomboe TZ kwa faida ya vizazi vijavyo
   
Loading...