Najuta kusoma sms za watu...

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Heshima yenu wakuu. Leo nilikuwa safarini toka Moro kwenda Dar. Nilikaa jirani na dada wa kiarabu upande wa dirishani na mwanae alikuwa katikati katika siti za watu watatu. Njia nzima alikuwa bize na simu yake, huku akiwa na tabasamu pale anapotumiwa sms na mara mbili alipiga simu huku akiongea kimahaba bila kujali yupo katika basi. Nilibaki mdomo wazi pale alipojisahau na kuiweka simu katika hali iliyoniwezesha kusoma kila alichokuwa akikiandika. SMS kutoka simu ya huyo dada iliandikwa "NIMEKUPENDAJE, YAANI PALE NILITAMANI NIKUNYONYE****** Yaani mdada anyonye nanihii ya mwenzake.....!!
 
Bull shit mixed with none sense substance a.k.a makochokocho damn it.
 
mnhhhhh siku ingine ukiwa una soma sms za mtu
unaweza tukanwa ushindwe kufanya lolote
anaandika tu .'kuna nyau nimekaa nae hapa kila sms anasoma'

halafu anakuacha uisome
Yaani ilitokea tu. Alikuwa kamaliza kuandika, kabla hajaituma akawa na mambo mawili kutuma hiyo sms na kuongea na mwanae. Hapo ndio akaiacha hiyo sms na nikaisoma, na nina uhakika hakujua kama nimeisoma.
 
mnhhhhh siku ingine ukiwa una soma sms za mtu
unaweza tukanwa ushindwe kufanya lolote
anaandika tu .'kuna nyau nimekaa nae hapa kila sms anasoma'

halafu anakuacha uisome

Hahahahahaha tena nyau lenyewe jizi kama yale ya feri....lol
 
mnhhhhh siku ingine ukiwa una soma sms za mtu
unaweza tukanwa ushindwe kufanya lolote
anaandika tu .'kuna nyau nimekaa nae hapa kila sms anasoma'

halafu anakuacha uisome
The Boss bwana,lakini ndo shida ya macho....hayana pazia.
 
Last edited by a moderator:
Unashangaa nini USA,ITALY,FRANCE,UK ruksa usagaji na wewe ulipaswa utupie ndoano ule walau chotara wa kiarabu
 
Heshima yenu wakuu. Leo nilikuwa safarini toka Moro kwenda Dar. Nilikaa jirani na dada wa kiarabu upande wa dirishani na mwanae alikuwa katikati katika siti za watu watatu. Njia nzima alikuwa bize na simu yake, huku akiwa na tabasamu pale anapotumiwa sms na mara mbili alipiga simu huku akiongea kimahaba bila kujali yupo katika basi. Nilibaki mdomo wazi pale alipojisahau na kuiweka simu katika hali iliyoniwezesha kusoma kila alichokuwa akikiandika. SMS kutoka simu ya huyo dada iliandikwa "NIMEKUPENDAJE, YAANI PALE NILITAMANI NIKUNYONYE*****" Yaani mdada anyonye nanihii ya mwenzake.....!!

*****.......
Wapi Richard Stubbs???
 
Mkuu nilitegemea mrejesho kwamba mkapeana namba na kuwekeana appointment ya kwenda kumnyonya yeye****kumbe unatuletea tu umbea!!!

Katavi, you have dissapointed your Brother.....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom