Najuta kuisaidia CCM kuiba KURA kwenye uchaguzi mkuu! Wana Ismani mnisamehe...

Jaman wanaJF wazima?,mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi,.nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM.

Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sanaa(km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4),hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.

Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo..naomben wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe,najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.

Kama kweli umetubu,nipe jina lako kwa PM
 
Mwakilishi wa msimamizi wa uchaguzi (Mkurugenzi) katika level ya kata ni WEO- Ward Executive Officer ambaye kimsingi hana mamlaka ya kutangaza matokeo ya uchaguzi, okay? Na mara nyingi hao watendaji wa kata ni waajiriwa serikalini of which hongo hiyo ni uongo kwa maana ya auto favour, right? na kwa ujumla bado uliendelea na ajira huko katika halmashauri na kwamba hicho hakikuwa kiinua "mgongo". Well, kama ulitaka kuonyesha na unakiri kuwa uliiba kura si mbaya ukajitokeza tukupige kiberiti sawasawa na vibaka. Sema uko maeneo gani? Mkungugu, Ngano, Lwang'a, Nyang'oro, Izazi...? Sema uko wapi, nina mafuta ya taa hapa na kiberiti.
 
Tiamaji hujasomeka, waambie wanajamvi:-
1: Mlitumia mbinu gani kuiba kura? Je nikupewa laki 2 ukaachia hesabu?
2: nani alishinda kihalali na kwa kura ngapi?
3: Aliyekupa hizo pesa ni nani na kwa maagizo ya nani?
4: and many more jibu tu!
 
Mnafiki mkubwa wewe! Ulafi wako unasababisha watu wanateseka. Nenda zako huko, haustahili kusamehewa unastahili kutolewa kafara.
Nachukia sana wanafiki bila kujali wanatoka wapi wala wana itikadi gani. Go to hell!
 
Mwakilishi wa msimamizi wa uchaguzi (Mkurugenzi) katika level ya kata ni WEO- Ward Executive Officer ambaye kimsingi hana mamlaka ya kutangaza matokeo ya uchaguzi, okay? Na mara nyingi hao watendaji wa kata ni waajiriwa serikalini of which hongo hiyo ni uongo kwa maana ya auto favour, right? na kwa ujumla bado uliendelea na ajira huko katika halmashauri na kwamba hicho hakikuwa kiinua "mgongo". Well, kama ulitaka kuonyesha na unakiri kuwa uliiba kura si mbaya ukajitokeza tukupige kiberiti sawasawa na vibaka. Sema uko maeneo gani? Mkungugu, Ngano, Lwang'a, Nyang'oro, Izazi...? Sema uko wapi, nina mafuta ya taa hapa na kiberiti.

umenifurahisha sana unavyochomeke hizo... Okay,, right,,,well.. Kama PM
 
hivi msimamizi wa uchaguzi hapo ismani kwa mwaka 2005 alikuwa ni nani?wanajf toka ismani tunaomba ushirikiano.
 
Jaman wanaJF wazima?,mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi,.nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM.

Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sanaa(km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4),hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.

Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo..naomben wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe,najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.

Asante, na Mungu akusamehe kwa maovu uliyoyatenda maana Mungu anasema japokuwa dhambi zako ni nyekundu kama damu atazibadilisha kuwa nyeupe kama theluji

Ukishirikisha ubongo vizuri utajua hakuna la maana hapa.
OTIS
 
waziri wa sera, uratibu na bunge
ameingia kwa rushwa??????????? Sera itatoka wapi?
Uratibu nao je?
bunge mhimili unasimamiwa na huyo?
 
Acha maneno yako ya kichochezi na kuleta taswira mbaya kwa wasimamizi wa chaguzi zetu unaleta maneno ya kisiasa humu kwa matakwa yako binafsi,Nitakufuatilia utueleze vizuri mnapotosha umma kwa kuweka maada za kizushi mnataka kubomoa umoja wa watanzania kwa faida zenu kisiasa!
 
Jaman wanaJF wazima?,mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi,.nilipewa laki 2 na kuipendelea CCM.

Najutia hayo maana leo ndo nimeenda kijiji kimoja kilichopo jimbon humo hali ni mbaya yan barabara mbovu sanaa(km 60 tu toka mjin but unatumia masaa4),hakuna hospitali,maji safi,shule zimechoka na kila aina ya ubovu.

Naona mateso wanayopata watu wale yanatokana na uamuz wangu wa kuchakachua matokeo..naomben wanaismani na tanzania kwa ujumla mnisamehe,najuta nimegundua CCM ni janga na hatari kwa maisha ya watanzania.

Nitakufuatilia utueleze vizuri wewe si unajifanya unajua kusambaza uongo!
 
Majuto yako hayatusaidi kwasasa mana kuna watu wanapoteza maisha kwajili ya tamaa yako.je ulisha wahi kujiuliza ni akina mama.watoto,wazee wangapi wamekufa kwajili ya kukosa hiduma muhim.a ulifanya hivyo sababu huishi hapo?
alafu unakuja hapa kutueleza uji.nga.
ULANIWE WEWE NA KIZAZI CHAKO
 
jamani,tulipewa hiyo pesa wote pamoja na mawakala wa vyama vingne nao wakaridhia kubatilisha matokeo...nitafute sifa gan hapa maana hakuna mtu anayenijua

bila kukosea ww lazma ni mwanamke mwalimu..
mwnamke usioona mbali,mbinafsi,umesababisha matatizo kwa wenzio
taja mbinu na ulaaniwe na kizaz chako
 
Huyu jamaa ni mjinga,kumbee yeye ndo ame2sababishia matatizo yote haya?. Jaman mimi ni mkaz wa jimbo hili mateso,matusi na kejeli tunazopewa na mbunge wetu hazisemeki walah
 
Back
Top Bottom