Najuta Kuifahamau M-PESA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najuta Kuifahamau M-PESA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Mar 25, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,359
  Likes Received: 22,222
  Trophy Points: 280
  Nilidhani watu wa kipato cha chini tumepatiwa mkombozi na voda com,
  kumbe sio mkombozi ila ni malaika izraele mtoa roho aliye kuja kwa sura ya upole, upendo na tabasamu huku nyuma yake akiwa na silaha kali yenye kukuua kifo cha taratibu chenye makali na machungu yasiyomithilika.
  Nimetumiwa vijisenti kama laki nne hivi , nilipoenda kuvidroo nimekatwa shilingi elfu saba,
  jamani....
  Hivi ni benki gani ya biashara yenye bank charges za juu kiasi hiki?
  Je mamlaka zinazosimamia maswala ya fedha zimeshindwa kabisa kumshauri rostam azizi arekebishe tariff zake??
  Kweli rostam kwa sasa ndiye baba wa taifa.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  jamani na wewe dezo inaua
  pole:)
   
 3. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Pole sana Buji, ila nilidhani anayetumiwa huwa akatwi maana gharama zote za huduma zimelipwa na mtumaji. Sina uzoefu wa kupokea ila nimeshatuma mara nyingi na sijapata mtu amelalamika kukatwa. Hebu wataalam wa hii kitu watupe mwongozo hapa.........inakuwaje???
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama anayetumiwa anakatwa pesa. best jaribu kuchat na customer care, isijekuwa hao jamaa wamekuingiza town!
   
 5. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wakati nilipokuwa chuo, mwalimu wangu wa DS alisema kuwa masikini ni gharama sana kuliko kuwa tajiri. Watu wengi hawakuingiwa na somo hilo. Lakini sasa hivi nazidi kuielewa kauli yake.

  WaTZ wanapenda mambo mdebwedo, wanadanganywa na mambo wasiyotaka kujua undani wake na madhara yake ndio hayo.

  Kwanza fikiria, mtu unazo pesa zako badala ya kufungua Bank Account uwe na uwezo wa kupata mkopo, unakimbilia X-Pesa kuweka pesa bila ya riba wala uhakika wa kuomba mkopo kwa kuahidiwa kurahisishiwa mambo ambayo si kweli kuwa unarahisishiwa bali unanyonywa.

  Mnapokuwa watu kama 1000 wenye account za X-Pesa kila mmoja unaweka TZS 10,000; ina maana X-Pesa anakuwa na 10,000,000. Kama hamjazitumia kwa mwezi mmoja na yeye ameweka katika account ya muda maalum kwa kipindi hicho kwa faida ya 6% inamaana anapata 600,000. Halafu anakuchaji 2% kwa kukutunzia fedha zako maana yake atapata 200,000 ambapo jumla yake anafaida ya 800,000.

  Hii inamaana kuwa katika kila wateja 1,000 X-Pesa atapata TZS 800 kwenye kila 10,000. Sasa wewe unadhani kuwa ni mjanja unaweka 500,000. Ina maana unapoteza 40,000 bila kujua (in-direct charges).

  Naomba niwashauri muweke fedha Benki na mkifungua akaunti benki unapata faida zaidi ya hasara hizi za X-Pesa.
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,359
  Likes Received: 22,222
  Trophy Points: 280
  nilitumiwa kwenye account yangu.
  Nikawa nazitoa kutoka kwenye soft money kwenda kwenye real money
   
 7. f

  fikrahuru Member

  #7
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tatizo la watz wanafikiri kila kitu kinachoanzishwa na wenye nazo in fashen na kwenda na wakati. unaweza kuangalia hata kwenye kipima joto cha ITV sms ni sh ngapi.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,359
  Likes Received: 22,222
  Trophy Points: 280

  najuuuuuuuuuuta kuifahamu m pesa
   
 9. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Please angalia jedwali la miaamala katika huduma hii:-
  Cash Deposit
  5,000
  500,000
  Free
  Send Money To Registered Customer
  1,000
  500,000
  200
  Send Money To Unregistered Customer
  1,000
  9,999
  1,000
  10,000
  19,999
  1,500
  20,000
  49,999
  2,500
  50,000
  99,999
  4,000
  100,000
  199,999
  6,000
  200,000
  299,999
  8,000
  300,000
  500,000
  11,000
  Withdraw Money - Registered Customer
  5,000
  9,999
  350
  10,000
  19,999
  500
  20,000
  49,999
  1,000
  50,000
  99,999
  1,500
  100,000
  199,999
  2,500
  200,000
  299,999
  4,000
  300,000
  500,000
  7,000
  Withdraw Money - Unregistered Customer
  1,000
  500,000
  Free
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Pole sana But nina hakika better service inakuja na some expense.Na huduma za M pesa lengo lake kufika pale benki zisipofika kwa haraka.

  Pili niwekeni sawa kwani RA an share ya % ngapi Vodacom?? Nadhani hisa zake si kubwa kumfanya awe na final decision.
   
 11. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  N-handsome sijakuelewa
  hesabu kwangu ni issue
   
 12. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Sorry JF kagoma format yangu
   
 13. senator

  senator JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Handsome naomba ufafanuzi maana sijakuelewa kuna mahali umesema 1000 500,000 200 free una maana gani?
   
 14. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pole...nadhani, cheki kwanza ushauri wa kbd. Lakini ndo hivyo...nadhani registered customers wanalipa wakati wanachukua pesa. cheki hapa: http://www.vodacom.co.tz/docs/docredir.asp?docid=3535
  Hiyo riba ya 6% inakuwa ni annual, hivyo kama unaweka pesa kwa muda mfupi, kama 90 days lazima uigawanye accordingly. Lakini ni sawa...umeeleza the general picture vizuri. Cha muhimu, sio kuwalaumu VODA, maana wao ni wafanya biashara. Siku zote mfanya biashara ni mtu aliye 'shrewd'. Yeye anaangalia jinsi ya ku-maximise profit, hivyo ni haki yake kula wajinga. Ndo maana katika nchi zilizoendelea kuna Consumer Protecting Agencies. Hizi hu-monitor field zao, zikiangalia utoaji wa service na kulinda wateja. Kwa bongo, inayofahamika zaidi ni TBS. Lakini nadhani kuna nyingine zinazochunga financial institutions, telecommunication industry, nk. Sema ndo hivyo...ujinga wetu ni mkubwa mno! We do not take advantage of such agencies!

  am out....
   
 15. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Ukienda kutuma watakuuliza ikiwa unataka unaemtumia apokee hela yote basi watakuambia uongeze kiasi fulani, kitachokatwa kwa ajili ya huduma.
   
 16. N

  Nanu JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2010
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Vodacom inaendesha kampuni inayojitegemea na wanafanya biashara. RA ana shares 30% but is not in day to day operations of vodacom.
  What do you think, not even the bank does anything for free, every service from the bank is charged. May be you are not even requesting your account monthly statements so that you can see the charges.
  M-Pesa was also meant to help people at areas where the bank is not available or someone do not want to go long queues and wastage of time. You only go to the nearby M-Pesa agent and you get the money. The agent has to get paid, expenses has to be met, and Vodacom has also to make money.
  It is required that before you consume the service/goods you have to ask associated costs so that you cannot be caught by surprise.
  Nothing is for free under the Sun brother!!!!!!
   
 17. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Anayetumiwa anakatwa kulingana na kiasi alichotumiwa, that is for sure hata ukienda kwa mpesa agent utaona mchanganuo ulivyo. Labda kwa lugha nyingine ni kuwa unatozwa charge sasa badala ya kutoa mfukoni inakatwa ile iliyotumwa. ina maana jamaa angetoa elfu saba toka mfukoni wangempa laki nne ambayo ni sawa na kupewa 393000 bila kutoa pesa ya mfukoni.....
   
 18. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,359
  Likes Received: 22,222
  Trophy Points: 280
  Usifanye mchezo na wazee wa mujini.
  Ukiingia ki kichwakichwa lazima uumizwe.
   
 19. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  I LOVE Finance!
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,359
  Likes Received: 22,222
  Trophy Points: 280
  bora kabisa enzi za kubadilishana bidhaa kwa bidhaa
   
Loading...