Ntakua wa mwisho kuamini hii hekaya.Kweli vyuma vimekaza yaani mahoteli yaliyojaa mjini ukaamua kwenda naye nyumbani kwako unakoishi na mke wako. Pole sana mkuu nadhani umepata ulichokitaka.
Aaaah finally nimekuonaSasa kama ulliona kwa kumwacha huyo dada utaonekana fala endelea naye maanake atazidi kukuona fala kwa kumwacha na kuendelea na familia yako
Pambana na hali yako kata kabisa kunoesha ufala.
Hahahahahahahahaha mzee wa Codes na huku huwa unafika duh kweli milima haikutani ulikuwaga umejifichaga wapi sikuzote hizo?Aaaah finally nimekuona
Nikuulize wewe BlueHahahahahahahahaha mzee wa Codes na huku huwa unafika duh kweli milima haikutani ulikuwaga umejifichaga wapi sikuzote hizo?