Najuta kufumaniwa

me nakushauri urudi nyumbani uombe msamaha hao watoto walioona utupu wako wanamiaka mingapi
 
Haya ndiyo matatizo ya kuishi kwenye nyumba za chini! Ungekuwa unaishi kwenye nyumba ya ghorofa kama mimi :rolleyes:, mambo kama haya yasingekutokea. Mpaka watu wamalize kupanda ngazi mnakuwa mmeshamaliza kuvaa!

Usipate taabu mpenzi, maua, mpenzi upepo.
ULIYOYAFANYA HAPA DUNIANI SI MAGENI!
Wewe wabebee mizawadi kibao watoto uwapelekee watasahau yaliyotokea. Wife mwambie kisa ni pombe na umuombe msamaha!
 
hao watoto hawawezi kusahau hilo tukio trust me...!! hapo kazi unayo rudi tu hivo hivo kibishi
 
WEWE SIYO MWANAUME, NI MVULANA.

MWANAUME ALIYEKAMILIKA HAWEZI KUPELEKA MCHEPUKO NYUMBA ANAYOISHI NA MKE NA WATOTO HATA KAMA AMESAFIRI KWA MWAKA MZIMA.

KWANINI USINGEMPELEKA HATA G.HOUSE?
 
Mbona kama hadithi hii!!!

Yaani umpeleke mchepuko kwenye nyumbani kabisa???!!! Wala hamkuwa mmelewa, mlijuaje nyumbani na huo ulevi!!! Pambana na hali yako!!!

Tena umewatia watoto nuksi kuwaonyesha nyuchi zenu!!! Muone
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Sasa kama ulliona kwa kumwacha huyo dada utaonekana fala endelea naye maanake atazidi kukuona fala kwa kumwacha na kuendelea na familia yako

Pambana na hali yako kata kabisa kunoesha ufala.
Aaaah finally nimekuona
 
Acha ujinga nenda kaombe msamaha maisha yaendelee

Watoto wa Nuhu waliona uchi wa baba yao hadi kufanya kabisa sembuse ww
 
Back
Top Bottom