lloydsam
Member
- Nov 8, 2015
- 42
- 55
- Thread starter
- #21
So hao watu hawakuweza kufa miaka yote iliyopita tangu miaka ya 60,70,80,90 2000, 2005, 2010, 2015 mpk leo 2019 ndo wanasubiri atoke mwaka kesho au 2025 ndo wafe.. So huko kote walikuwa wanapata huduma bora sio???Huyu mtu hadi anaondoka madarakani watu wengi watakuwa wamekufa kwa kukosa huduma bora huko mahospitalini kuliko kipindi cha chochote tangu nchi ipate uhuru
HAYA NAOMBA UNIJIBU; Roma Mkatoliki alivyoimba
"WAGONJWA WANAKUFA MAPOKEZI DOCTOR ANAKUNYWA VALUU, WAZAZI WANAKUFA LEBA WENGINE ICU"
alikuwa anaimba 2050 au bado natafakarii hivi huu unafki unafki ni nani aliturithisha jamaa, maana kama umeme unakatika afu bado unatoka nje kuchungulia kama umekatika kote na kuridhika baada ya kuona umekatika kote ndo maana ungekuta nyumba nyingine zinawaka ungekasirika coz hupendi kuona Jema/Zuri kwa mwenzio
Sent using Jamii Forums mobile app