Najua wajua ila nakujuza zaidi

mkumbwa junior

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
831
1,595
IPO HIVI:

85% ya watu wote wanaotembeleana siku hizi atakapofika nyumbani/gheto kwako baada ya salamu lazima akuulize una Charger ya Simu hapo nistue simu

Ndivyo ilivyo kama huamini chunguza anzia sasa
 
Back
Top Bottom