Najua 'Unatania' ila kwa sasa unazidisha na kuharibu kwani Kauli za 'Kingonongono' ni nyingi 'Jukwaani' kuliko 'Kujinadi' Kwako zaidi Kisiasa

Tafadhali sana badilika upesi na niwaombe pia hata wale walioko karibu nae ( hasa Washauri ) ama wamsaidie au wambadilishe kwani anachokifanya sasa ni 'Kujichoresha' na hadi 'Kujidhalilisha' kwa Watanzania. Haiwezekani Wewe kila ukianza tu 'Kuhutubia' unaacha 'Kujinadi' hasa 'Kisera' Kazi yako ni 'Kuchomekea' tu maneno ya 'Kingonongono' ambayo kwa sasa si ya 'Hadhi' yako.

Watanzania wanaweza wakawa ni 'Wagumu' Kuamini taarifa zako kuwa unapenda sana 'Ngono' ila kwa Kauli zako za sasa wataanza Kuzamini hasa.

Inakera kama siyo hata Kutukwaza wale tuliokuwa tukikupenda na kukuamini. Badilika upesi japo tayari 'Werevu' wameshakudharau sana na mno.
Ndicho anachowaza muda wote
 
Sishauriki full stop!!
 
Tuache uongo kwenye kitu kinaitwa "self expression" hyu mzee hawez kabisa
Na ndo maana mwenyewe naona aibu kuweka mdahalo kati ya yeye na tundu maana atatudhalilisha na ushauri wangu hyu mzee kwa kipindi hiki cha kampeni wangekuwa wanamwandalia speech ili anapoenda kulala aikariri kdogo angalau angetupunguzia aibu
Imefikia kipindi naogopa kuangalia hotuba zake maana hazina mwelekeo anajikanyaga sana,nadhani pia kampeni meneja anafeli
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Kwa hili nakubaliana nawe kwa 100% Mkuu japo nakuuliza hivi kwa Ulinzi wake na Mamlaka yake kuna wa 'Kuguna' mbele yake akaachwa Salama?
Uwe muelewa bas, kwamba wanaopaswa kuguna sio waandamizi wake. Bali hadhira (i.e sisi pale mkutanoni)

Kiufupi tunamuelewa na kufurahia hayo unayosema ya NgonoNgono
 
Kiongozi amekosa discipline kabisa, anaropoka hovyo sana, hafikirii cha kuongea kabisa, kila linalomjia mdomoni analitapika hivyo hivyo, tutaanza kuogopa kuangalia TV tukiwa na watoto wetu sasa, what a waste of..........!!

Kikwete mchukue mtu wako.

Sperms?
 
Kuna kitu hamjaelewa kwa nini Magu anafanya hivyo.
Mwenzenu amegundua kuwa asilimia kama 70 hivi ya Watanzania wanawaza ngono na starehe ikiongozwa na jamii ya watu wa pwani.
Kwa hyo akifanya hivyo anaiteka ile asilimia 70 baadae inabaki ile asilimia 30 ya watu serious sana ambao na wenyewe pia watajigawa 15 watamchukia na 15 watampenda kutokana na interests mbalimbali.
Siasa ni ngumu wajameni huwezi kufanya kila kitu kikawa sahihi kama kila mtu anavyotaka
 
Tuache uongo kwenye kitu kinaitwa "self expression" hyu mzee hawez kabisa
Na ndo maana mwenyewe naona aibu kuweka mdahalo kati ya yeye na tundu maana atatudhalilisha na ushauri wangu hyu mzee kwa kipindi hiki cha kampeni wangekuwa wanamwandalia speech ili anapoenda kulala aikariri kdogo angalau angetupunguzia aibu
Imefikia kipindi naogopa kuangalia hotuba zake maana hazina mwelekeo anajikanyaga sana,nadhani pia kampeni meneja anafeli
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
Nadhani safari hii hakuna kampeni meneja zaidi ya akina Polepole.
 
Back
Top Bottom