Najua 'Unatania' ila kwa sasa unazidisha na kuharibu kwani Kauli za 'Kingonongono' ni nyingi 'Jukwaani' kuliko 'Kujinadi' Kwako zaidi Kisiasa

Yaani huyo mzee ni futuhi la karne ya 21, akienda mahali akikuta hakuna maji na ni kwa mpinzani anasema walikosea kuchagua ndio maana hajapeleka maji, lakini akienda mahali akakuta hiyo huduma ipo, anasema yeye ndio kapeleka maana maendeleo hayana chama! Fuatilia vizuri, utakuta hata hiyo huduma ya maji haikwenda wakati wa utawala wake.
Tunduma wamemwambia hawayataki maji yake yenye masimango.
 
Kwani kuna Taifa lingine ambalo linapenda ngono kama wabongo?

Maana story za ngono ni kila mahali, maofsini, mabarabarani, vijiweni mpaka Mitandao, sasa hapo si anasema kitu ambacho Watanzania wengi wanapenda?

Magesti ya bongo yanasomba watu masaa 24
Unaongea utumbo halafu unajiona umeandika point ,kiongozi mkubwa kuropokaropoka hovyo mambo yanayotia aibu ni uwendawazimu ,huna point ya kutetea hapo
 
Tafadhali sana badilika upesi na niwaombe pia hata wale walioko karibu nae ( hasa Washauri ) ama wamsaidie au wambadilishe kwani anachokifanya sasa ni 'Kujichoresha' na hadi 'Kujidhalilisha' kwa Watanzania. Haiwezekani Wewe kila ukianza tu 'Kuhutubia' unaacha 'Kujinadi' hasa 'Kisera' Kazi yako ni 'Kuchomekea' tu maneno ya 'Kingonongono' ambayo kwa sasa si ya 'Hadhi' yako.

Watanzania wanaweza wakawa ni 'Wagumu' Kuamini taarifa zako kuwa unapenda sana 'Ngono' ila kwa Kauli zako za sasa wataanza Kuzamini hasa.

Inakera kama siyo hata Kutukwaza wale tuliokuwa tukikupenda na kukuamini. Badilika upesi japo tayari 'Werevu' wameshakudharau sana na mno.
Umenikumbusha story za hotel moja pale Bamaga, siikumbuki vizuri ila ni kama vile Kabeji!
 
Ebu fuatilia komenti zangu na zako utajua nani ana tress kati ya mimi na wewe. Labda nikwambie kitu, kuwa kwako na maisha mabaya sababu sio CCM wala Serikali yake. Bali sababu ni aidha wazazi wako hawakukulea na kukusomesha vizuri au wewe binafsi hukuchangamkia fursa ukafikiri utaletewa! Pumbavu wewe!
Kwanini unamfokea jamaa? Umepaniki? Kunywa majiiii!
 
Hivi nyinyi hapo kwa Jiwe mnafikiri Kuna mtu basi , waliomfanyia vetting watakuwa watu wa ajabu sana , tiss mkaruhusu kituko awe Rais ? Eti Tanzania tuna usalama wa taifa ? Vichekesho kwelikweli .
 
Kiongozi amekosa discipline kabisa, anaropoka hovyo sana, hafikirii cha kuongea kabisa, kila linalomjia mdomoni analitapika hivyo hivyo, tutaanza kuogopa kuangalia TV tukiwa na watoto wetu sasa, what a waste of..........!!

Kikwete mchukue mtu wako.
Wa Mkapa huyu
 
Back
Top Bottom