Najua umekufa,tunalia sana ila Nyayo zako ni taa yetu

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,250
1,467
Kila nikiangalia picha
Kila nikikumbuka
Kila nikiwaangalia mafisadi
Kila nikikumbuka maneno yako
Kila nikihisi uwepo wako
Kila nikiona uchafu

Inaniuma

Kila nikiona uonevu
Kila maisha yanapokuwa magumu
Kila nikiona mtu analia
Kila nikiona ujingujinga
Kila nikisikia kejeli

Nakumbuka maneno yako
Kwamba:
"Katika kila jamii lazima. wawepo wachache watakaokufa kwa ajili ya wengine"

MH HAYATI KIONGOZI WA MAPAMBANO,
ALPHONCE MAWAZO.

God be your comfort.

Our eyes one day shall be speaking of Revolts,Strongly Armed.
 
Wachache watakao kufa kwa ajili ya wenginew....ni maneno aliyokuwa anatupa ndugu Jenerali Ulimwengu at UDSM back in 2008. Now in 2016 I get it's meaning.
May God bless Alphonce Mawazo`s beautiful daughters and wife.#RIPAlphonce Mawazo
 
Don't get me wrong, ni kwenye Kwenye midahalo
 
Mshomaa uliozimika ghafra umeacha alama ya kumbukumbu maishani mwetu tuliobaki
 
Tutakukumbuka daima! Inasikitisha sana mpaka Leo hatujapewa taarifa yeyote kuhusiana Na waliompoteza Kamanda wetu.
 
Dah PKA kamanda!
Damu yako iliyotiririka kwa mateso, hakika ni alama ya pekee katika muelekeo wa ukombozi wa Tanganyika yetu.
We Loved You and always will Do!!
 
R.I.P Kamanda,
Wauaji walipatikana?Kifo chake kilikuwa cha kikatili sana.
Wauaji,waliosuka mipango wote kwa pamoja tunawaseta na familia zao laana/dhiki/kuvurigikiwa katika kila mipango yao.
 
Kila nikiangalia picha
Kila nikikumbuka
Kila nikiwaangalia mafisadi
Kila nikikumbuka maneno yako
Kila nikihisi uwepo wako
Kila nikiona uchafu

Inaniuma

Kila nikiona uonevu
Kila maisha yanapokuwa magumu
Kila nikiona mtu analia
Kila nikiona ujingujinga
Kila nikisikia kejeli

Nakumbuka maneno yako
Kwamba:
"Katika kila jamii lazima. wawepo wachache watakaokufa kwa ajili ya wengine"

MH HAYATI KIONGOZI WA MAPAMBANO,
ALPHONCE MAWAZO.

God be your comfort.

Our eyes one day shall be speaking of Revolts,Strongly Armed.
kamanda mawazo alikuwa Mtume .
 
U will always be remembered..... walio chukua uhai wako, walio panga hata kama hawakushika mapanga, walio fikiri au hata kuleta hilo wazo la wewe kunyamazishwa daima, hawataiacha hii dunia bila kupata kisasi kikali toka kwako kamanda.... najaribu kuimagine ulikiwa unafikilia nini pale ulipo kuwa umelala chini kichakani kichwa chako kikiwa juu huna uwezo wa
kuuambia mwili ufanye unacho taka sababu ya hao mazombi...... mbegu uliyoipanda imemea na itaendelea kukua... RIP kamanda. .....
 
Back
Top Bottom