Najua ni knowldge ndogo tu inahitajika hembu naomba unisaidie nifanyaje. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Najua ni knowldge ndogo tu inahitajika hembu naomba unisaidie nifanyaje.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by g.n.n, Feb 29, 2012.

 1. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari rafiki!
  Baada ya kuinstal windows7 kwenye machine yangu kuna baathi ya drivers zinakosekana ambazo mimi sizifahamu kiasi kwamba baadhi ya magemu hayaplay pamoja na baathi ya application.

  Mfano nikifungua DVD maker notification ifuatayo inatokea

  THE VIDEO CARD INSTALLED ON THIS COMPUTER DOESN'T MEET MINIMUM SYSTEM REQUIRMENTS FOR WINDOWS DVD MAKER.


  Then nikifungua baathi ya magemu notification ifuatayo inatokea.

  FAILED TO INITIALIZE WINDOW PLEASE TRY RUNNING THE GAME AGAIN IF THAT DOESN'T HELP TRY CHANGING THE SCREEN RESOLUTION AND COLOUR DEPTH IF THAT FAILS THEN YOUR VIDEO CARD DOESN'T SUPPORT THIS GAME
  .


  Baathi ya notification hapo juu nimejaribu kuzifanyia kazi lakini mambo bado yanazingua sasa kama kuna njia ya ziada ya hiyo naomba unisaidia WHAT SHOULD I DO SO AS TO SOLVE DIS PROBLEM?
   
 2. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,402
  Likes Received: 3,728
  Trophy Points: 280
  Kuuliza kitu kwa kutanguliza ujuwaji unaweza ukakosa sehemu ya majibu ambayo pengine ndo muhimu. MI SIJUI KITU HILO
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hiyo w7 ni kubwa sana kiasi kwamba hizo RAM zako ni ndogo ndo maana zinafanya hivyo weka ram kuanzia 1GB na kuendelea pamoja na HDD 120 hivi ndio haitasumbua..
   
 4. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #4
  Feb 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  unatumia computer ya aina gani?
   
 5. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #5
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  toshiba kaka ndo natumia.
   
 6. g.n.n

  g.n.n JF-Expert Member

  #6
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sio kwamba najua kaka just naamini huku kuna watalamu ambao kwao ni kitu kidogo au nimekukera brother.
   
 7. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #7
  Feb 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tafuta CD ya drivers za VGA, AUDIO na INSTALL JAVA for windows.
   
 8. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #8
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  kwa device manager upande wa vga inaonyesha ni standard vga au inatoa specific model ya vga card?
   
Loading...