Elections 2010 Najua baadhi inawauma lakini huyu ataendelea kuwepo

Hongera sana Kiranga huu mjadala umeufunga barabaraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Asiyekubali kushindwa aeleke jiweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
JAKAYA MRISHO KIKWETE
1.Mtanzania pekee aliyewafanya wapinzani uchwara walie kuomba uongozi.
2.Mtu pekee ambaye mafanikio yake kimaendeleo yanapingwa kwa porojo.(bila takwimu)
3.Mtu pekee katika Tanzania ya leo aliyekubali kuacha sheria iwashughulike wanadhirifu wa mali za umma.
4.Rais wa Tanzania 2005 - 2015.
5.Aliyegeuza ilani ya CCM na mafanikio yake kuwa kama moto ambao kila mpinzani anaogopa kuukaribia.

Umesaha!!!! Raisi pekee duniani aliyekataa kura za wafanakazi,
 
Ni rais pekee anayeongoza kwa kuanguka bila kuwa na sababu ya msingi kuliko maraisi wote duniani
 
jakaya mrisho kikwete
1.mtanzania pekee aliyewafanya wapinzani uchwara walie kuomba uongozi.
2.mtu pekee ambaye mafanikio yake kimaendeleo yanapingwa kwa porojo.(bila takwimu)
3.mtu pekee katika tanzania ya leo aliyekubali kuacha sheria iwashughulike wanadhirifu wa mali za umma.
4.rais wa tanzania 2005 - 2015.
5.aliyegeuza ilani ya ccm na mafanikio yake kuwa kama moto ambao kila mpinzani anaogopa kuukaribia.

6. Raisi wa kwanza duniani kuogopa mdahalo
 
kwa kukuunga mkono, nakupa data za wa Iraq walioko katika gereza letu la Arusha, wanaongoza kwa kuwa nakesi za ubakaji, wanaongoza kwa kuwa na kesi za mauaji nawaongoza kwa walio wengi kuukumiwa kunyongwa, na mwisho kabisa tabia zao magereza ni very controversial, hii ina maaanisha kunashida katika vichwa vyao chunguzeni mtapataukweli. je tukotayari kuongozwa na watu wa aina hii?
 
Back
Top Bottom