Najivunia rangi yangu nyeusi ..very gorgeous one !!

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,374
96_grobertson_03.jpg

Nappy-main_Full.jpg
tabasamu la mvuto

2006-afro-curls.jpg
rangi imetulia

black-beauty.jpg
nani kama mie sihitaji mkorogo

iman.jpg
shingo ya kinyonga


These are the real beauty- inside and out, humble, generous, kind, loving etc
naijawomenviolated.jpg


Conya20Doss.jpg

catherine_hemansyankey.jpg

genevieveN.jpg


nnenna2.jpg
hapa sijui nini kimeongezwa mmh

miriamchemmoss.jpg
mwaaaaaaah

alek3.jpg


venantiaotto.jpg


flavania.jpg
dasa Flaviana na yeye yupo
 
Uyu mdada wa Nigeria mkali sana, vipi kuna mtu anajua jinsi ya kuwasiliana naye!
 
Rangi ya Kihaya (black) ni ya gharama.
hata wazungu mioyoni mwao wanalitambua hilo.
 
da madem wa kiafrika wazuri sio siri jamani,mi nipo na kitimoto changu daah lakini sikifeel hata kidogo ikifika mambo ya sita kwa sita,huwa naenda kupoozea kwa mkikuyu wangu.
 
acha wapumbavu wajichubue na masumu ya mikorogo watuache sisi tubaki wachache na uzuri wetu wa rangi nyeusi!hakika black iz beuty jamani,am so proud n grateful to god to make me one of these ladies!
 
naijawomenviolated.jpg

Orofea ni nyumba ya wahuni, orofea ni nyumba ya wahuni x2
Na shuleni mahali pa elimu, na shuleni mahali pa elimu x2

Inaonyesha hawa akina mama wame'arestiwa na afande, labda kwa kosa la uzururaji!
Mb0na wamekaa kinyonge sana!
 
:confused:
naijawomenviolated.jpg

Orofea ni nyumba ya wahuni, orofea ni nyumba ya wahuni x2
Na shuleni mahali pa elimu, na shuleni mahali pa elimu x2

Inaonyesha hawa akina mama wame'arestiwa na afande, labda kwa kosa la uzururaji!
Mb0na wamekaa kinyonge sana![/QUOTE]

msiba
 
genevieveN.jpg


Haka kadada hakazeeki aisee, miaka nenda miaka rudi bado kanang'aa tu!
 
Wanawake wanaojichubua wangejua ninavyowachukia.........! Sijui kama iko hivyo kwa wanaume wote...! sijui! Lakini Mungu anisamehe kwa hilo, japo hata wananitia kinyaa jamani.....! Naona kaa sio wanadamu vile.....! Please women, natural beuty will stay longer, if not forever. Hii mimi nahesabu pia kama mojawapo ya marekebisho ambayo binadamu wanatoa kwa Mungu....! Mnamkosoa Muumba wenu jamani.....!
 
Sorry lakini kwa kuuliza...HAWA NI WEUSI AU NDIO HAYO MAJI YA KUNDE???....au pia mnaongelea U-ASILIA wa ngozi yani isiyokorogwa?...maana wapo hao pia mnaowaita weupe wa mikoa ya hapo pembezoni mwa mlima mrefu kuliko yote afrika WANATISHA sanaa UTADHANI MALAIKA VILE AU SANAMU NZURI SANA ILOPITIA MIKONONI MWA MICHAEL-ANGELO WA ENZI ZA WARUMI...kitu color kama ya apple si aple ...embe dodo linaloanza kuivia mtini vile...yani color complexion ya ajabu sanaaaaa...NADHANI KITU KATIKA UHALISIA WAKE HUWA KINAPENDEZA SANAAA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom