Najivunia kuwa brazamen

Hii thread ipo very positive na ukiisoma between lines unapata some hints za life... Huo ndo ukweli, unavyojiweka na mazingira unayopenda kuwa hutengeneza future. Wengi tunapenda kukaa kimaskini na kuishi na watu tuliowazidi ili tujihisi comfortable. "Comfort can't build dreams mzee".

Sipo obsessed na muonekano wangu ila najua umuhimu wa kuwa na look poa. Big up mkuu kwa hilo
 
Asante kiongozi!
 
Wengi wanadhani kuwa smart ni kufuja pesa na wakati unakuta mtu yupo rafu rafu na maendeleo hana,sinywi pombe,sivuti sigara wala nini,Mimi kuvaa ndio starehe yangu na wala situmii pesa nyingi kupendeza
Safi sana mzee baba ndio inavyotakiwa mpaka boss anajisikia inferior akikuona. Usafi na kuwa classic wengi wanapenda ila wanakosa maujanja na ndio chuki inaanzia hapo.
 
Sidhani kama kuna mkoa sijafika nchi hii, nimezunguka kila kona. Last week nilikuwa Newala Mtwara huko nilikuwa nna project na WB wanafanya baseline ya mradi wao wa elimu.
Watu wa mikoani ni watu poa sana kila napokutana nao ni story kubadilishana mawazo na kupeana maarifa mbalimbali ya kimaisha. Nawakubali sana wshikaji wa mikoani wapo fresh sana sio vizuri kuwatumia kunitusi. Unaweza tafuta namna nyingine ya kupunguza stress zako mkuu.
Majibu yako yanafanana na jina lako
 
Dsm yapo maduka mengi tu ya perfume.. Nenda JD pharmacy mlimani city au citymall mle karibu na DIT kuna duka ghorofa ya pili lina perfume nzuri bei zinaanzia laki kwenda mbele inategemea na budget yako.

Niko mkoa , we ambayo unaikubali zaidi ni ipi niitafute?
 
Navaa pamba kali na najua haswa kuvaa vitu vikali.

Napenda usafi wa mwili wangu mpaka mazingira yanayonizunguka.

Nnanukia perfume nzuri Gucci, Creed au Uomo.

Napenda kutumia vitu vyenye quality na standards za juu. Najali sana viwango kwenye kila kitu changu.

Kibongobongo wananiita brazameni na silichukii ilo jina.

Ubrazameni ni damu unazaliwa nao, wengi wanapenda swaga za kibrazameni ila ndio hivyo wanajikuta hawawezi sababu uwezi jifunza kuwa brazameni utachemsha tu.

Wenye hasira na sisi wanaishia kutuita majina mabaya kutuchafulia CVs. Wanatuita wauza sura, wanaume wa dar, wapaka poda na kutuchafua kwa mademu eti hatuna pesa lakini cha ajabu mademu awaambiwi awasikii kwetu wanatukubali ile mbaya.

Siwezi enda kwenda board room kufanya presentation ya mradi wangu uku nanuka kijasho cha saa saba eti ndio uanaume lazima nichukuliwe poa, lazima nijali muonekano wangu uniuze na kuepuka harufu za kibinadamu.

Navinjali sehemu zenye watu classic ata kama inanigharimu lakini napata connection zenye akili. Bia ya Maison ni gharama ila inanilipa kuliko bia ya buku mbili ya La Chaz.

Najivunia kuwa brazameni na kwa mabrazameni wenzangu msijisikie vibaya kuitwa mabrazameni.
Angalia wanaume wa dar wasije kukupiga puum.bu
 
Uzi unaenda poa mkuu.
Ifike pahala basi Boss pia hapa hapa tupeane na brand kali za nguo viatu na everything ambacho ni kikali na wapi kinapatikana pia.Mimi niko mkoa ila napenda vitu vya mtumba sana sana sana.Je unadhani kila nguo ya mtumba ni kali au ya duka pia? Jibu ni haapana.
Kuna brand name ukigusa tu ata kama nguo ilivaliwa ulaya .Mfano dickers kama sijakosea wana kaptula kali sana hawakosei.
Sasa basi tutiririke kila mmoja wetu hizo na brand ili mambo yaende sawa na machimbo pia
 
Majibu yako yanafanana na jina lako
Unajua sometimes mtu anakutukana kwa sababu anakuchukia kutokana na perception tu. Sasa watu wa namna hii nakutana nao sana kwenye maisha maybe kutokana na muonekano mtu anatanguliza chuki kabla hajakufahamu kiundani akishakufahamu vizuri utamskia mwanangu nilikuwa nakuchukulia unanata sana kumbe mtu poa tu. So ukijipenda lazima ukubali vitu kama hivi watu wanapenda mfanane muwe wote na muonekano duni.
 
Niko mkoa , we ambayo unaikubali zaidi ni ipi niitafute?
Mimi naikubali zaidi ni creed sema bei yake kidogo ipo juu.. Ila kuna perfume ya rasasi inaitwa Hawas hiyo ni hatari haijawai ni disappoint ina harufu ya matunda napoipiga kila mtu anaikubali na bei yake affordable laki 2.2 citymall pale check na huyu jamaa 0658112989.
 
Sawa sawa...
 
Navaa pamba kali na najua haswa kuvaa vitu vikali.

Napenda usafi wa mwili wangu mpaka mazingira yanayonizunguka.

Nnanukia perfume nzuri Gucci, Creed au Uomo.

Napenda kutumia vitu vyenye quality na standards za juu. Najali sana viwango kwenye kila kitu changu.

Kibongobongo wananiita brazameni na silichukii ilo jina.

Ubrazameni ni damu unazaliwa nao, wengi wanapenda swaga za kibrazameni ila ndio hivyo wanajikuta hawawezi sababu uwezi jifunza kuwa brazameni utachemsha tu.

Wenye hasira na sisi wanaishia kutuita majina mabaya kutuchafulia CVs. Wanatuita wauza sura, wanaume wa dar, wapaka poda na kutuchafua kwa mademu eti hatuna pesa lakini cha ajabu mademu awaambiwi awasikii kwetu wanatukubali ile mbaya.

Siwezi enda kwenda board room kufanya presentation ya mradi wangu uku nanuka kijasho cha saa saba eti ndio uanaume lazima nichukuliwe poa, lazima nijali muonekano wangu uniuze na kuepuka harufu za kibinadamu.

Navinjali sehemu zenye watu classic ata kama inanigharimu lakini napata connection zenye akili. Bia ya Maison ni gharama ila inanilipa kuliko bia ya buku mbili ya La Chaz.

Najivunia kuwa brazameni na kwa mabrazameni wenzangu msijisikie vibaya kuitwa mabrazameni.
Pambafff utaolewa! Huo ubrazamen unakuingizia kipato gani annually?
 
Kaka mimi nafanya kazi yenye heshima na nalipwa kwa masaa so usihofu kabisa huu ubrazameni ni aina tu ya maisha niliyochagua. Pole sana kama umekereka kwa kiasi hicho na lifestyle yangu.
 
Halafu watu wengi mlio na stress za maisha ama akili za kivulana ndio mnaoongoza kwa maisha ya maigizo! Fine unaleta bandiko la ubrazamen humu kufundisha wavulana wengine wawe kama wewe? Ama unaomba ushauri, ama unataka kutuonesha umetusua maisha? Na huo ubrazamen wako umeukatia Bima ili siku ukiisha Bima wakulipe? Pambafff!
 
Povu kama lote mzee baba, hili ni jukwaa huru kila mtu anaposti anachojisikia mimi nimeweka aina ya maisha yangu sikujua kama yangekuharibia siku kiasi iko kama unaona naishi maisha yasiyopendeza basi pole sana maana ndio maisha niliyochagua na yananipa furaha sana sababu kila pahala naona milango inafunguka sababu ya hiii hii lifestyle nayoishi. Mkuu pole sana naona umeumia sana ila ndio hivyo hata vidole havifanani.
 
Nachojivunia kwanza Nina jicho la nguo huwa sibaatishi Mzee baba,rangi pia naangalia jinsi ya kumechisha,pia navaa kutokana na sehemu nayoenda na aina ya watu ninaenda kukutana nao, nikivaa suti imoo,nikavaa kanzu ipo,t-shirts na jeans vitu vinakaa!full usafi hadi inzi wananiona kwenye TV,Viatu pea kama zote!siwezi kunuka kijasho mtoto wa town kama Mimi!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom