Najivunia kuwa brazamen

Navaa pamba kali na najua haswa kuvaa vitu vikali.

Napenda usafi wa mwili wangu mpaka mazingira yanayonizunguka.

Nnanukia perfume nzuri Gucci, Creed au Uomo.

Napenda kutumia vitu vyenye quality na standards za juu. Najali sana viwango kwenye kila kitu changu.

Kibongobongo wananiita brazameni na silichukii ilo jina.

Ubrazameni ni damu unazaliwa nao, wengi wanapenda swaga za kibrazameni ila ndio hivyo wanajikuta hawawezi sababu uwezi jifunza kuwa brazameni utachemsha tu.

Wenye hasira na sisi wanaishia kutuita majina mabaya kutuchafulia CVs. Wanatuita wauza sura, wanaume wa dar, wapaka poda na kutuchafua kwa mademu eti hatuna pesa lakini cha ajabu mademu awaambiwi awasikii kwetu wanatukubali ile mbaya.

Siwezi enda kwenda board room kufanya presentation ya mradi wangu uku nanuka kijasho cha saa saba eti ndio uanaume lazima nichukuliwe poa, lazima nijali muonekano wangu uniuze na kuepuka harufu za kibinadamu.

Navinjali sehemu zenye watu classic ata kama inanigharimu lakini napata connection zenye akili. Bia ya Maison ni gharama ila inanilipa kuliko bia ya buku mbili ya La Chaz.

Najivunia kuwa brazameni na kwa mabrazameni wenzangu msijisikie vibaya kuitwa mabrazameni.
Brazamen na tozi wote walewale.

mateso yesu alibeba pale carvali.
 
Mabrazamen nyinyi siwakubali wala nini.

Kuna mwenzenu mmoja akawa room mate wangu siku hiyo natoka gym namkuta anajifutia miguu fulana yangu. Namuuliza anajibu mi nilifikiri tambara, nigga fvck u tambara linakaaje kwenye begi? Nigga hii ndo fulana yangu pendwa.

Akanipigia simu, rudi chap umeme umeisha. Nikarud nikaweka umeme, naona mtu katoa chupi anaanza kupiga pasi.

Thats right dunia ilikua mbele this dude tulimwacha nyuma, bado alikua anavaa chupi.
 
Back
Top Bottom