Najivunia kulala na wanawake wanane kwa usiku mmoja-Waziri Mkuu

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Waziri mkuu wa Italia,amejikuta yupo matatani baada ya gazeti moja kuamua kuchapa maelezo yake ya simu ambako alikua akijisifu kuwa ameweza kulala na wanawake 8 kwa USIKU MMOJA

Malimwengu na ulimwengu wengine wanajisifia kuikomboa nchi za na wengine wanawake ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni

Huyo ndo "Bunga Bunga" mkewe alichapa lapa.huyo anakula Viagra alishatamka bora uwe malaya kuliko shoga

Hahahahahaaaa,,,,,,,,kama alisema hivo hii statement yake naiunga mkono ati,,,,,,,USHOGA ZIGO LILE LADY
Huyo ndo "Bunga Bunga" mkewe alichapa lapa.huyo anakula Viagra alishatamka bora uwe malaya kuliko shoga

Anatumia viungo vyake ipasavyo
Malimwengu na ulimwengu wengine wanajisifia kuikomboa nchi za na wengine wanawake ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni

nilijuwa wa tz
magamba haaaa nimeifungua post speed!!!
sema wapo wa hapa wanafanya zaidi ya hayo!!!!
hahahaha.....ila wanaodakwa ni wale wa igunga wqalokuwa kwenye guest bubu
wwanaolala ile ya waarabu aaah!!!!!!kunya anye kuku akinya bata kahara!!!

Wa hapa wapo waliofumaniwa na hao ambao hawajwah kukiri hadharani @msofe
nilijuwa wa tz

magamba haaaa nimeifungua post speed!!!

sema wapo wa hapa wanafanya zaidi ya hayo!!!!

hahahaha.....ila wanaodakwa ni wale wa igunga wqalokuwa kwenye guest bubu

wwanaolala ile ya waarabu aaah!!!!!!kunya anye kuku akinya bata kahara!!!

Kwa sasa ana ile skendo ya "Rubygate"RUBY alikuwa under 18 wakati anamchukua.Silvio anajisifu kuwa Rijari.ila kwa sasa kisiasa hali si nzuri hata kwao Milano hawamtaki

Waziri mkuu wa Italia,amejikuta yupo matatani baada ya gazeti moja kuamua kuchapa maelezo yake ya simu ambako alikua akijisifu kuwa ameweza kulala na wanawake 8 kwa USIKU MMOJA
Nilivyaona heading nikafungua hii thread kwa kasi ya ajabu nilidhani ni Mizengo Pinda, kumbe ni Italy

Cha kushangaza ni babu wa miaka 78. Yaelekea anakula viagra hadi na chai! Nampenda sana kwa jinsi anavojua kuchagua warembo, hasa wasiozidi 25yrs!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom