Najivunia Kuitwa "Magwanda" Je Wewe Unajivunia kuitwa "Gamba"

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Baada ya CCM kuanzisha kile kilichoitwa kujivua Gamba wamejikuta Wakiitwa Chama Cha Magamba na Huku Mtaani mtu ukimwita Gamba anaweza kukupiga vibaya.

Baada ya Kubatizwa Jina na "Gamba" vijana wasiweza kufikiria wa CCM wameanza kumuita kila aliye Kinyume na CCM kwa jina la "Magwanda" yaani wakimaanisha CDM

Mimi Napenda CCM waniite "Magwanda" kwa sababu ninalo Moja home Lakini wana CCM Mnajivunia kuitwa "Magamba" a.k.a "Gamba lililo Kiunoni halivuki hata kwa Shoka"

hapa lazima kuna mtu atachafua hali ya hewa kwenye huu uzi subirini mtaona..
bora wewe ushajiweka hadharani..

CHAga DEvelopment Movement in Africa...hvyo ndvo mnavoitwa mtaan wala ucjpaishe kwa kujiita magwanda,magwanda mnajiita wala hamuitwi...wengne tunawaita CHADOMO

CHAga DEvelopment Movement in Africa...hvyo ndvo mnavoitwa mtaan wala ucjpaishe kwa kujiita magwanda,magwanda mnajiita wala hamuitwi...wengne tunawaita CHADOMO

mbona hakuna noma bado nzuri tu mlipand udin ukabila mpaka ukanda na tungekuwa na races nying mngesema chadema ni wabaguzi wa rang yote inshallah tutaikomboa tu nchi ye CHADEMA mpaka makete tuko pamoja. R.I.P ccm VIVA CHADEMA!

wengi wenu mnafikiri kuwa CCM imeshukaa..nop ccm haijashuka bt chadema imepanda(tena na mjin tu na co vjijin)

CHAga DEvelopment Movement in Africa...hvyo ndvo mnavoitwa mtaan wala ucjpaishe kwa kujiita magwanda,magwanda mnajiita wala hamuitwi...wengne tunawaita CHADOMO

Ha ha ha Ndio Mnaovyotuita hivyo now days, Vipi wewe Unajuinuia Kuitwa Gamba?

najivunia kuitwa HIJAB
Mkuu wa wilaya ya igunga alipoulizwa

Magwanda-alama ya upiganaji,ukakamavu,ulinzi,uchapa kazi,ukamanda
Magamba -alama ya uzee,uchovu,fikra mgando nk

Kwasasa tarifa yenu wanaosema kuwa ati CDM haipo vijijini wanajidanganya waende Ludewa wakauone moto?

Wengi Wamegundua Kuishini "Gambani" ni kama Kuishi Magereza, Wengi wameamua kubadilikia Wamevua "Gamba" a.k.a Wizi, a.k.a CCM, a.k.a Ufiasadi na wameavaa "Gwanda" a.k.a Uhuru, Uzalendo, Uwajibikaji na Upiganaji

Gwanda ni Kielelezo cha Uzalengo, Unangoja nini wewe uliye Baki? Get Gwandalized today, get your Father Gwandalize, Get ya Mother Gwandalized, get your Children Gwandalize

Magwanda For Life Magamba for Death

Similar Discussions

Back
Top Bottom