Aslaam aliyekum wanaJF
naomba kujulishwa namna ya kula kiapo cha JF kwa wageni jamani.

Nina wasiwasi .............. we utakuwa umechakachua tarehe ya kujiunga na JFAslaam aliyekum wanaJF
naomba kujulishwa namna ya kula kiapo cha JF kwa wageni jamani.
Toka 2009 mkuu ndo unarudi leo??? Anyway karibu sana japo itabidi utambie ulijificha wapi na sababu iliyokuibua wakati huu
Wewe ni yule wa masuala ya ardhi au