Najiunga rasmi jamvini

baha

Member
Oct 18, 2009
44
4
Aslaam aliyekum wanaJF

naomba kujulishwa namna ya kula kiapo cha JF kwa wageni jamani.
 
Aslaam aliyekum wanaJF

naomba kujulishwa namna ya kula kiapo cha JF kwa wageni jamani.

Toka 2009 mkuu ndo unarudi leo??? Anyway karibu sana japo itabidi utambie ulijificha wapi na sababu iliyokuibua wakati huu
 
Wewe sio mgani maana umeingilia mahali sio pa kuingilia. Hapo kale uliitwa nani?
 
Du hii kali............ jamaa una experience kuliko hata mimi je ulikuwa wapi????? !!!!!!!!!!!!!, Wewe ndo inabidi utwambie sisi wageni
 
Toka 2009 mkuu ndo unarudi leo??? Anyway karibu sana japo itabidi utambie ulijificha wapi na sababu iliyokuibua wakati huu

kwani Join Date inategemea na settings za computer ya mtu au settings za mifumo ya JF?

Nahisi ama computer ya jamaa au machine ya JF imeishiwa CMOS battery.
 
kwani Join Date inategemea na settings za computer ya mtu au settings za mifumo ya JF?

Nahisi ama computer ya jamaa au machine ya JF imeishiwa CMOS battery.
siunajua tena mambo ya majukumu ya kijamii, anyway nadhani kikubwa ni mie kujiunga rasmi leo
 
Karibu sana, lakini umeweka tundiko lako kwenye jukwaa lisilohusika. Jifunze na hili kwanza, kwamba kila thread utundikwa kwenye jukwaa lake. Wewe ulitakiwa kuweka hili kwenye jukwaa la utambulisho
 
Aslaam aliyekum wanaJF

naomba kujulishwa namna ya kula kiapo cha JF kwa wageni jamani.

Tumia uma na kisu, halafu sema:

Naikataa CCM, na mambo yake yote, na wizi wake wote.
Nitasimama imara kutetea upinzani wa kweli nchini Tanzania, ili vizazi vijavyo vineemeke na kufaidi matunda ya nchi yao.
Sitatoa rushwa, sitapokea rushwa.
Nitapiga kura ya mageuzi, niwapo hai mwaka 2015.
Ee Mwenyezi Mungu Nisaidie.

Kisha changia angalu TZS 10,000 kwa JF ili upewe kadi.
 
Wewe Msaniii umejiunga 2009 mpaka 2010 post 4 tu.... Basi jana ndio umejiunga rasmi leo baada ya masaa 24 umeongeza post moja tu... kweli umejiunga rasmi au badi ni kishkaji tu...
 
karibu sana.ila ukileta utukutu utakula ban tena na itabidi uendeleze ID yako nyingine.
 
Back
Top Bottom