mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Wadau naleta mada hii ili tupime uzito wa matukio ya Mh.Charles Kitwanga .Mh.huyu amekuwa akihusishwa Na ufisadi wa kampuni ya Lugumi Na juzi Mh.huyu huyu ametenguliwa uwaziri Kwa sababu ya ulevi.Wakati umefika wa kuwajua watanzania kuwa ni watu wa matukio he tujadili tukio lipi kati ya hayo ya Mh.Kitwanga?