Nimeanza kujiuliza naamini hapa JF kuna wajuvi wa mambo mtanisaidia swali hili:-
Hivi kweli Tundu Lisu(MB) ameamua kupambana na serikali za wanadamu kweli? Je atashinda vita hii au atashindwa?
Kwa mtazamo wangu na hasa kwa kauli yake ya mwaka huu mpya 2019 aliyoitoa akiwa ubeligiji kuhusu utawala wa serikali ya awamu ya 5 chini ya Mhe MAgufuli kwamba inanyima haki za binadamu na ni ya kikatili na isiyofaa. Bado najiuliza je ni kweli ameamua kupambana na serikali au?