mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,666
Najiuliza na kuwaza kwa sauti, ni nini kinachoendelea hapa nchini! Je, ni:
1) Mwamko wa kisiasa?
2) Mahitaji ya demokrasia isiyo na mipaka?
3) Uchumi wa kati?
4) Kutokuridhika na matokeo ya uchaguzi wa 2015?
5)Mwenendo wa Serikali mpya?
6) Kutokujitambua kwa vyama vya upinzani?
7) Ukiritimba wa utawala wa CCM?
8) Hofu ya upinzani kwa kasi ya "hapa kazitu#"?
9)Hofu ya wana CCM waliozoea msemo wa "huyu si mwenzetu"?
10) Maandalizi ya uchaguzi wa 2020?
Mimi naona hofu kwa kiza nchini tunakoelekea.
Natoa hoja wanajamvii, kwani Tanzania ni mimi na wewe.