Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,323
- 40,169
Asili ya jinsia ya kiume ni kumiliki majike wengi, angalia wanyama, ndege, samaki n.k Na kwa idadi iliyopo duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume. Na wengi wanahitaji kuwa kwenye mahusiano na wanaume, ila kutokana na uchache wa wanaume wanaishia kutamani kwa macho. Najiuliza huyu aliyeleta utaratibu wa mwanaume kutokumiliki wanawake wengi alikuwa na makusudi gani? Mi nilikuwa natamani tungeishi kama viumbe wengine...unahisi kufanya, unakamatia yeyote na kufanya.