Najiuliza, hivi nchi hii hamna wazee wanaoweza kumshauri mkuu?

Mafunguo 88

Senior Member
Dec 21, 2016
155
184
Anasema yeye hashauriki, hivi ndiyo sifa ya kiongozi?

Anapendelea baadhi ya viongozi mfano bora ni mh Makonda anavyobebwa yaaani hadi unaweza hisi mkuu wetu ana masrahi na ishu za Makonda

Anatoa kauli za kukatisha tamaaa na za kubeza hata wananchi walio wengi mmmmmmh wanajutaaaaaaaaaaaa

Ajitokeze mzee mmoja basi amshauri hii sio Tz tuliyoizowea

Tutoe uoga jamani kumshauri mtu ni kumlekebisha hakuna ajuaye yoooote
 
Mkuu ashasema hajaribiwi,hapangiwi,hivyo hata hashauriwi hao wazee bado wanapenda kuishi so km huwatakii mema waende wakamshauri ili `WAONJE MSISIMKO``
 
hhhhhhhh duuu yaaaani huyu mtu atatufanya watanzania tuikose Amani huyu anaweza hata kubadili katiba ya nchi.
 
Ashauriwe kumtumbua makonda? Mh Rais go go go. Hakuna cha ushauri wala nini mmezoea kuchafua watu kwa kupata chochote. Magu ndo kiboko yenu
 
Anasema yeye hashauriki, hivi ndiyo sifa ya kiongozi?

Anapendelea baadhi ya viongozi mfano bora ni mh Makonda anavyobebwa yaaani hadi unaweza hisi mkuu wetu ana masrahi na ishu za Makonda

Anatoa kauli za kukatisha tamaaa na za kubeza hata wananchi walio wengi mmmmmmh wanajutaaaaaaaaaaaa

Ajitokeze mzee mmoja basi amshauri hii sio Tz tuliyoizowea

Tutoe uoga jamani kumshauri mtu ni kumlekebisha hakuna ajuaye yoooote
Unajuta peke yako. Tuache tanaoenjoy kuwepo kwake kwa muda wa makwa mmoja tu maana cha kwanza discipline makazini imerudi!
 
Back
Top Bottom