Najitolea bure kufanya matibabu kwa watu watakaokuwa tayari

Yaani umejifunzia You tube kwa miaka yote hiyo, mbona huwa ni ishu ya siku moja tu.

Mimi nitakubali unifanyie upasuaji wa tumbo ila kwa sharti moja, umpigie Dr Isack muda wote wa operesheni simu iwe kwenye loud speaker, afuatilie step kwa step na ikibidi awe anakupa maelekezo pale utakapokwama.
 
Naomba uniambie ulipo kama naweza kukuona ili nikufanyie upasuaji na una tatizo gani tumboni?
 
Baada ya kusoma juu ya utabibu kwenye mtandao wa YouTube kwa sasa nimeiva na ninataka kufanya majaribio ya kile nilichosoma kwa miaka zaidi ya 5 huko mtandaoni.

kama unahitaji kufanyiwa operesheni naweza kujaribu kufanya nione kama nitakuwa na mafanikio makubwa.

🤣 🤣 mbavu zangu jamani
 
mimi ninauwezo wa kuchoma sindano vema kabisa, nimepata uzoefu kupitia nguruwe ninao wafuga.
kiongozi tusaidiane ajira kunako majariwa, naamin hii ni fursa tunatoboa
 
Ndugu yangu afadhali umejitolea, nataka unifanyie upasuaji wa moyo maana umejaa maji.
 
Back
Top Bottom