Najitambulisha

Tunsume

Member
Aug 25, 2008
72
95
Hamjambo wanajamvi? Ni mwanachama wa siku nyingi ambaye nilijiunga nikitokea Tanzanet, lakini sikuwa hai kwenye jamvi kwa maana ya kuchangia. Hata hivyo nafarijika kuwa hakuna siku sijawahi kupitia darasa na kuelimika na elimu ya juu itolewayo humu jamvini. Kwa wote asanteni kwa elimu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom