Najilipua: Kama noma na iwe noma

Kaka Kapo

JF-Expert Member
Nov 23, 2012
535
329
How u doing fellas!
First and far most I have been telling myself I should wait for the right time for so long and all I can see everyday is am not ready yet. I am now convinced that there will never be a right time rather will be a right decision! So I go for the right decision and f**k the right time!
Nisiwachose sana nimeamua kuiaga rasmi kambi ya ukapera na sasa ndo nipo kwenye mchakato huo my mind and strength are all dedicated to this if all goes well come February next year ntakuwa naenda kujitambulisha na kufanya michakato ya mahari.
Kwa nn ninawashirikisha katika hili? Nahitajia ushauri wenu muhimu kwani siku ntakayo jitambulisha ndo siku pia ntamvisha huyu bibie ile pete ya uchumba! Believe me katika hili I don't have a clue wapi ntaipata? Gharama yake ikoje na even size zinakuwaje! So ntashukuru sana mchango wenu katika hili! MMU is my another family and I believe I will get all the help I need in ths! appreciate every mchango from you guyz!
 
Mimi nakupongeza kwa uamuzi wako...Mungu akuongoze!
Kila la kheri...
 
BOY YOU IS LOST!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Anyway coz umejtia kujamba wakati unharisha pete za maana town ziko kwa nchimbi magomeni mapipa ila hizi sare ya jiji! Yakoub Jewellers mcity wako vizuri pia, na wahindi pia wana jewelry art nzuri sana! HONGERA TEAM HATUCHOVYI!
 
Njoo tu ndugu,ila wenzako twatamani kutoka
 
Thanx lara1 ! I will never look back I just need to get over wit ths n am determined!
 
Njoo tu ndugu,ila wenzako twatamani kutoka

Sometimes its hard to talk about dancing moves(steps) if your not the one who is dancing! Let me dance first and I will talk about them moves(steps).
 
BOY YOU IS LOST!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Anyway coz umejtia kujamba wakati unharisha pete za maana town ziko kwa nchimbi magomeni mapipa ila hizi sare ya jiji! Yakoub Jewellers mcity wako vizuri pia, na wahindi pia wana jewelry art nzuri sana! HONGERA TEAM HATUCHOVYI!

kama huatuchovyi basi tunakunywa kabisa ndio maana yake
 
Kwaheri ndugu sisi bado tunashindwa fanya right decision because of wrong time.Kuusu pete lala1 kamaliza

Via team bado tupo tupo

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Maamuzi ya busara,Mungu akuongoze ufanikishe hilo.
Kuhusu pete anza kutembelea kwa Masonara ukachague itakayokuvutia kadri mfuko wako utakavyokuruhusu.
Kila la kheri
 
Ally z best mathayo...pet ya kawaida laki 3....shereh jiandae kuigaramia plus mahar na usafir andaa 1.6m au 2m....ndoa ickie!!!
 
Pole mkuu. Katika makosa makubwa nilowahi kufanya duniani ni kuoa. Nimekoma aisee.
 
Kwanza nikupe hongera kijana kwa kufanya maamuzi,kama umempata right person utajuta kwa nini hukuoa miaka kumi iliyopita!Bei za pete inategemea bajeti yako,kuanzia laki na nusu hivi mpaka mamilioni ya shilingi kutegemea unataka ya uzito gani na aina gani(silver,gold,tanzanite,e.t.c),lakini medium laki 3 na nusu hivi nne(kwa gold) zinatosha kwa watu wa kawaida.
Ni vizuri uende na huyo mchumba wako ili achague pete anayoipenda,unajua hiyo ni ya kuvaa kila siku maisha yake yote,so ukimletea kitu hapendi atateseka kuivaa isitoshe pia ni lazima afanye fitting kuona kama inamtosha!Unaweza mnunulia pete hata ya milioni 2 lakini hasiipende yeye akata pete ya laki 3!Pia bajeti yako kama inatosha mnaweza nunua pete zote hadi za ndoa kwa wakati mmoja,hii itakusaidia kupunguziwa bei lakini pia kukuweka huru ,kipindi cha maandalizi ya harusi si mchezo!Best wishes,utulie sasa karibu unakuwa baba
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom