Brush kwa kutumia maji ya betryUkitaka kuwa na meno meupeeee peee kama theluji unatakiwa kufanya nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeulizwa matokeo yake umepotea mazimaHabari wakuu
Niulize swali lolote kuhusu kinywa na meno, ntakujibu.
Karibuni.
Kuna madhara. Baada ya matumizi ya muda mrefu ya tooth pick fizi huwa zinapata damage na kuanza kutoka damu.Je kuna madhara ya kutumia tooth picks?
Vipi kuhusu dental floss?
Sante Dkt.Mfawidhi.Kuna madhara. Baada ya matumizi ya muda mrefu ya tooth pick fizi huwa zinapata damage na kuanza kutoka damu.
Dental floss ndio njia sahihi ya kusafisha meno na fizi baada ya kupiga mswaki.
Njia sahihi ya kupiga ni kutopiga straight bali kwa nusu mviringo.
Na pia kuanza kupiga mswaki sehemu tofauti tofauti .
Faida yake ni sehemu zote kupata attention sawa kwenye upigaji wako wa mswaki.
Pia usisahau ulimi.
Habari wakuu
Niulize swali lolote kuhusu kinywa na meno, ntakujibu.
Karibuni.
Nauliza kijana wangu kapa ajali Meno mawili ya juu yametoja je kunawezekano wa kuota tena ?Kuna madhara. Baada ya matumizi ya muda mrefu ya tooth pick fizi huwa zinapata damage na kuanza kutoka damu.
Dental floss ndio njia sahihi ya kusafisha meno na fizi baada ya kupiga mswaki.
Njia sahihi ya kupiga ni kutopiga straight bali kwa nusu mviringo.
Na pia kuanza kupiga mswaki sehemu tofauti tofauti .
Faida yake ni sehemu zote kupata attention sawa kwenye upigaji wako wa mswaki.
Pia usisahau ulimi.
Nauliza kijana wangu kapa ajali Meno mawili ya juu yametoja je kunawezekano wa kuota tena ?
Umri miaka 9
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kijana wako aliota meno ya kudumu ya mbele?. Kwa kawaida huwa miaka 6-8 ikiwa jawabu ni ndiyo basi hawezi kuota mapya.Nauliza kijana wangu kapa ajali Meno mawili ya juu yametoja je kunawezekano wa kuota tena ?
Umri miaka 9
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dawa za meno na dawa za kusukutua Lakini hazimalizi tatizo kabisa. Nenda kwa daktari wa meno kwa uchunguzi kwani kuna uwezekano meno yako yameanza kulika na kuwa na matundu.Meno kuwa na ganzi unapokula vitu vichachu au baridi tiba yake nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuacha kutumia vitu vichachu,sukari,soda.Layer ya nje ya jino (enamel) inalika/inasagika, hasa maeneo ya jirani na fizi. Kuna tiba ya tatizo hili?
Sina jawabu la uhakika kwa kweli. Amuone daktari wa meno kwa uchunguzi wa awali.mkuu nina ndugu yangu mmoja ..kila asubuhi akiamka upande mmoja wa shavu la kushoto unavimba kidogo utafikiri anaumwa na jino ,na watu wengi humwambia jambo hilo .lakini baada ya masaa mawili matatu uvimbe hupote..je unahisi jambo gani hilo shukuran
Sent using Jamii Forums mobile app