Najiandaa kwenda kuomba kibali cha kufanya maandamano kumpongeza mwenyekiti wa chama kwa ushindi mkubwa tulioupata

Mimo mwenzenu sina wivu na pia nitasemaa ukweli daima.Fitina,uongo na majungu kwangu mwiko.

Nikirudi kwenye mada na kwa kuzingatia imani yangu hiyo hapo juu,itakuwa ni kukosa shukrani kwa mwenyekiti wetu iwapo tushashindwa kumshukuru kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kukijenga chama kazi ambayo matokeo yake yameonekana katika uchaguzi wa siku ya jana.

Kwanza kabisa,nimefurahishwa mno na idadi kubwa ya wapiga kura walijitokeza kushirika katika huu uchaguzu tofauti kabisa na miaka yote na katika chaguzi zote tangu tulipojipstia uhuru kutoka kwa wakoloni.

Pili,nimekuwa impressed sana na idadi ya kura walizopata wajumbe wetu kulinganisha na wagombea wa kutoka upande wa pili.

Tatu,huu umekuwa ni uthinitisho tosha kuwa wale wote wanaohama na watakaoendelea kuhama kumuunga mkono mwenyekiti wetu hawakukosea katika maamuzi yao na huu ni ushahidi kuwa wenzetu hawa wamejaliwa kipawa cha kuona mbali.

Nne na mwisho ni kuwa,uchaguzi huu umethibitisha pasipo shaka yoyote kuwa vyama vingine ni kweli vinakufa na sasa chama chetu kimezaliwa upya.

Kwasababu zote hizi,nalazimika kuomba kibali cha maandamano ili kumpongeza mwenyekiti.

Natoa wito kwa wenzetu wa upande wa pili nao kushiriki katika maandamano haya kwani huu ndio uzalendo wa kweli.

Mwenye wivu ajinyonge.

Kidumu chama chetu!!

Tumeanza mwaka vizuri.

Mods naomba mlinde uzi wangu na si vinginevyo.

Ahsanteni.
Naunga mkono
 
Jitume, fanya kazi kwa bidii,kua mwaminifu, Unyenyekevu pia, utafanikiwa, siasa huiwezi, huna kitu, hakuna atakae kuelewa, Wakati ni mali, ungali kijana utumie ipasavyo, acha blabla
 
Mleta mada nimemuelewa vizuri sana,waliojitokeza kupiga kura ni wachache mno CCM wajitafakari huo sio ushindi wa kishindo bali ni ushindi wa aibu
 
Mimi mwenzenu sina wivu na pia nitasemaa ukweli daima.Fitina,uongo na majungu kwangu mwiko.

Nikirudi kwenye mada na kwa kuzingatia imani yangu hiyo hapo juu,itakuwa ni kukosa shukrani kwa mwenyekiti wetu iwapo tushashindwa kumshukuru kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kukijenga chama kazi ambayo matokeo yake yameonekana katika uchaguzi wa siku ya jana.

Kwanza kabisa,nimefurahishwa mno na idadi kubwa ya wapiga kura walijitokeza kushirika katika huu uchaguzu tofauti kabisa na miaka yote na katika chaguzi zote tangu tulipojipstia uhuru kutoka kwa wakoloni.

Pili,nimekuwa impressed sana na idadi ya kura walizopata wajumbe wetu kulinganisha na wagombea wa kutoka upande wa pili.

Tatu,huu umekuwa ni uthinitisho tosha kuwa wale wote wanaohama na watakaoendelea kuhama kumuunga mkono mwenyekiti wetu hawakukosea katika maamuzi yao na huu ni ushahidi kuwa wenzetu hawa wamejaliwa kipawa cha kuona mbali.

Nne na mwisho ni kuwa,uchaguzi huu umethibitisha pasipo shaka yoyote kuwa vyama vingine ni kweli vinakufa na sasa chama chetu kimezaliwa upya.

Kwasababu zote hizi,nalazimika kuomba kibali cha maandamano ili kumpongeza mwenyekiti.

Natoa wito kwa wenzetu wa upande wa pili nao kushiriki katika maandamano haya kwani huu ndio uzalendo wa kweli.

Mwenye wivu ajinyonge.

Kidumu chama chetu!!

Tumeanza mwaka vizuri.

Mods naomba mlinde uzi wangu na si vinginevyo.

Ahsanteni.
Hahahahaa Agiza kabisa Balimi 2 nakuja kulipa
 
Na pia kuipongeza NEC Kwa kuzijua hesabu vyema. Kwamba jimbo Fulani walio andikishwa 28,000 lakini kura za mgombea Wa chama chetu 45,000.
Hakika wanahitaji pongezi kwa kazi nzuri
 
Hata kudanga wamechakakachua
 
Back
Top Bottom