MwanaHaki
R I P
- Oct 17, 2006
- 2,401
- 707
Napenda kutoa taarifa rasmi kwamba nimeanza mchakato wa KULIKOMBOA Jimbo la Uchaguzi la Kinondoni mwaka 2015. Hii inatokana na ukweli kwamba, Jimbo la Kinondoni ni mojawapo ya majimbo ambayo ni LULU na HAZINA ya Tanzania, lakini yanayoongoza kwa mambo mengi mabaya na machafu, tena mengi yasiyofaa hata kutajwa hadharani.
Tutalikomboa Jimbo la Kinondoni hata kambla ya 2015, na utakapofika mwaka huo, kampeni itakuwa ni MTEREMKO tu!
Mwenye masikio asikie, mwenye macho akae mkao wa kutazama, mwenye mikono na akili zake ajiandae kushiriki katika kuigeuza Kinondoni kuwa ZAIDI ya New York, Tokyo, Paris NA Geneva!
Mmeshaambiwa!
-> Mwana wa Haki