Najiandaa kufungua kesi dhidi ya TBA.

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,407
Natangaza kusudio langu la kuwapeleka TBA mahakamani na watanzania wote wazalendo naomba mniunge mkono kwa kunipatia kila aina ya msaada ili kuwatia nguvuni.

TBA watakabiliwa na makosa yafuatayo;-
*kuudanganya umma juu ya hatari za nyufa ktk mabweni waliojenga pale UDSM.
*kuisababishia serikali hasara kwa kujenga majengo yaliyo chini ya viwango.
* kukiuka maadili ya kiuhandisi kwa kutofuta taratibu zote ktk ujenzi.
*kuhatarisha maisha ya watoto wetu wanaokaa ktk mabweni waliojenga.

Mwisho naomba wajuvi wa masuala ya kisheria mnisaidie kutengeneza mashitaka dhidi ya TBA kama yapo zaidi ya hayo niliyo yaorodhesha.

Sote tujiiulize swali hili;-
Mbona NHC wamekuwa wakijenga majengo kote nchini lkn hapajawahi kujitokeza mipasuko kama ile ya kwenye mabweni yaliyojengwa na TBA pale UDSM?
 
Utaenda Jela Wew Labda Unataka Kiki Kama Dr Shika , We Alie Pga Picha Tu Kapgwa Ndani
 
Utaenda Jela Wew Labda Unataka Kiki Kama Dr Shika , We Alie Pga Picha Tu Kapgwa Ndani
 
TBA hawakujenga hizo hostel wewe jamaa, wao ni wakala wa ukaguzi tu, mashtaka ya hivi kesi ingetumia dk 5 tu kuisha kabisa.
 
TBA hawakujenga hizo hostel wewe jamaa, wao ni wakala wa ukaguzi tu, mashtaka ya hivi kesi ingetumia dk 5 tu kuisha kabisa.
Sasa mbona shutuma zinatupwa kwao? Na kwann wao ndiyo wako mstari wa mbele kutoa utetezi wa mipasuko ile?
 
Back
Top Bottom