Najaribu kuwaza mwaka 2020

Utakuwa ni uchaguzi au harakati ya kumtoa mkoloni...?
Mkuu Nimejaribu kuwaza m7 naweza kuendelea ujenzi wa vyumba viwili na nikahamia nikaachana na maisha ya kupanga ,

Nimeona mkuu Ninyamaze kimya,
Apo nimejaribu tu kuwaza kwa sauti ya chini maana hata wa chumba cha pili asiniskie

Sina Milioni saba januray hii
 
2015 mliwaza hivyo hivyo kumtoa mkoloni ccm,lakini mkaanguka vibaya.Kwa upinzani huu wa kisanii,wapinzani kuingia ikulu ni ndoto
Lakini kiongozi mbona mie hakuna sehemu nilitaja ccm au chadema wala sijasema kama ni uchaguzi wa Tz
 
Lakini kiongozi mbona mie hakuna sehemu nilitaja ccm au chadema wala sijasema kama ni uchaguzi wa Tz
2020 hakuna uchaguzi popote mkuu,zaidi ya Tanzania.Halafu kwa nini ufumbe fumbe hoja yako?sasa unaikataa basi sema ulimaanisha nini mkuu
 
2020 hakuna uchaguzi popote mkuu,zaidi ya Tanzania.Halafu kwa nini ufumbe fumbe hoja yako?sasa unaikataa basi sema ulimaanisha nini mkuu
Nchi zote mkuu umejaribu kutazama ukangundua hakuna uchaguzi zaidi ya Tanzania?
 
Hatutabadilisha Katiba wala sheria za Tume halafu tuone mtapitia wapi enyi wapinzani! Tume anateua mwenyekiti wa chama chetu na anaipa vigezo na masharti ya kuzingatia! Tume ikishatangaza ndio tena. Mtasubiri miaka mingine mitano!!
 
Tume huru Tanzania idaiwe sana.Kama kuna u muhimu wa kupambana ktk kudai basi tuige wakenya haraka sn.
 
Back
Top Bottom