Najaribu kuwaza kimaandishi kuhusu upinzani Tanzania

law healer

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2019
Messages
205
Points
500

law healer

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2019
205 500
Marhaba.

Katika chaguzi zilizopita/ zitazoendelea ingetokea au ikitokea katika huo uchaguzi moja ya mtaa/ jimbo mgombea wa CHADEMA, CUF au vyama vingine vya upinzani ameshinda katika eneo hilo.

Lakini baadae ikaja kujulikana kuwa moja au baadhi ya wapiga kura ambao walikuwa wapo ili kumchagua moja ya mgombea wenu ambaye kwa wakati huo kashinda, Walizuiliwa na kukatazwa kuweka kura zao katika polling box lakini pamoja na yote mgombea wenu akapita katika mtaa/ jimbo hilo.

Je, under this situation/circumstances mtaendelea kupiga kelele na kudai haki yenu na kuwapigania wananchi wenu haki ambao waliikosa, haki yao ya msingi kikatiba (Right to vote) ili kudumisha misingi ya kidemokrasia na kikatiba kama mnavyodai kwa sasa na kuipigia kelele kila siku ili kusudi shitaka liende mahali husika (Mahakamani) ikiwezekana uchaguzi uonekane ni invalid na ufutwe au kurudiwa tena au hapo mtaacha mwanaharamu apite tu?

Nimeandika haya yote, sababu nimeona dalili ya hivi vyama vya upinzani kuwa na maslahi yao binafsi/ matumbo na maisha yao na sio demokrasia ya nchi yetu, wanatuzuga tu hawa.

"Any inconveinience is highly regreted"
 

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
21,799
Points
2,000

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
21,799 2,000
Nilimpigia simu msajili wa vyama vya siasa jaji Mtungi nikamwambia,ukienda huna kazi-Katibu mkuu CCM Dr. Bashiru.
 

Forum statistics

Threads 1,390,598
Members 528,215
Posts 34,055,694
Top