Najaribu kuvuta picha UKAWA watakaposhinda uchaguzi wa Urais kwa Mara ya kwanza mwaka 2115

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,817
Najaribu kujenga picha jinsi mitaa itakayozizima kwa na wanachama na wananchi kwa ujumla wakipiga madebe na shamrashamra hapo mwaka 2115 hakika UKAWA watakua wameshinda kwa kura nyingi Uchaguzi huo.

Kwa maisha ya sasa nitakua na miaka 125 naona Mimi sitakuepo ila wajukuu zangu watashuhudia.
 
Kupata kichekesho hiki na vingine vingi kama hiki Piga Nyota Hash-tagi Dj Ziro nyota kata funua alama ya ukawa Ok
 
Kweli akili ndogo ni ndogo tu hata ufanye nini haiwezi kuwa kubwa! Mkiulizwa shule mlienda kusomea ujinga mnajibu mataputapu! Ila huwezi kuwa una shule kichwani uwe na akili kama yako! Wewe ni mkimbia umande
 
Mkuu hv kwa mtindo wa kupokea makapi ya ccm yaliyochoka na kukosa mikakati mizuri isiyo yakurukaruka km hii ya UKUTA na kata funua unahisi ni lini sasa watachukua nchi? Projection zangu km UKAWA itaishi bas itakua mwaka 3000.

Mwenyekiti CCM JF
 
Kweli akili ndogo ni ndogo tu hata ufanye nini haiwezi kuwa kubwa! Mkiulizwa shule mlienda kusomea ujinga mnajibu mataputapu! Ila huwezi kuwa una shule kichwani uwe na akili kama yako! Wewe ni mkimbia umande
Zungusha Zungusha!!!!!!!
 
Nimegundua kitu,ccm imesajili watu makundi mawili!Watu makini(wachache) na Nanga(wengi).Hawa mananga kazi yao ni kuleta vioja na upuuzi!Hawa sio kwamba wanapewa kazi hiyo maalum,ila hata wakati wanasajiliwa walijulikana kuwa hawa ni kusindikizia msafara wa mamba yaani kenge!
Nadhani nimeeleweka,mleta mada "u are the ultimate representation of these nangas"
 
Zungusha Zungusha!
 
Back
Top Bottom