Najaribu kulog in website ya HESLB haifunguki kwenye akaunti ya kuombea mkopo

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,003
Wakuu naombeni mwenye taarifa atuhabarishe, kila nikijaribu kulog in kwenye akaunti ya Kijana wa jirani yangu ili kujua amepata mkopo au la haifunguki kwa siku ya tatu leo tangu list ya pili ya vijana waliopata Mikopo itoke
 
Ni tatizo la wengi ONLINE SYSTEM yao iko imezidiwa watu wengi wanaingia at the same time. Kama upo Dar nenda bodi pale Mwenge watakusaidia kungalia
 
ni tatzo la wengi ONLINE SYSTEAM yao iko imezidiwa watu wengi wanaingia at the same time. kama upo dar nenda bodi pale mwenge watakusaidia kungalia
Ili tatizo linajirudia hii sio mara ya kwanza kuna mwaka fulani kulitokea malalamiko kama haya nadhani mwaka ule walipozindua mfumo huu.
 
Back
Top Bottom