Najaribu kufikiri kama CCM ndio wangelikuwa huku wengine tuliposimama. Wangevumilia?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
#Anahoji Martin Maranja Masese.

Najaribu kufikiri kama CCM ndio wangelikuwa huku wengine tuliposimama. Wangevumilia?

Rais Magufuli atupiwe kesi ya AKWILINA

Rais Magufuli ameharibiwa ile hoteli na shamba lake Chato

Rais Magufuli na Mary Nagu wametunzwa Segerea siku 104.

CCM wamekatazwa kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima.

Wagombea wa CCM wote wakatwe kwenye Uchaguzi S/M

Mbunge wa CCM afanyiwe alichofanyiwa Tundu Lissu

Mbunge wa CCM (yeyote) apewe kesi ya Ugaidi na uasi

Wafuasi wa CCM wapigwe mabomu ya machozi na maji ya kuwasha.

Viongozi wa CCM 10 wapewe mashtaka wahudhurie Kisutu miaka 3 mfululizo.

Katibu mkuu wa CCM atupiwe kesi huko Songea ya uchochezi.

Job Ndugai atupiwe adhabu ya kutohudhuria vikao vya bunge siku 365.

Nape amekamatwa na kulazwa mahabusu, kosa? Kwanini ameingia Mtama bila kibali

Makamba amezuiwa kusafirisha akiwa Airport, awekwa chini ya ulinzi.

Halafu wengine wafanyiwe waliyofanyiwa Saanane, Mwangosi etc

Unafikiri CCM ingelikuwa hai? Wana CCM wangevumilia rafu hizi? CCM ingebaki na 'wachumia tumbo?

na unadhani wangehamia huko akina Katambi na Mtatiro na Slaa?

Unafikiri CCM ingelikuwa na hadhi hata ya kusimama na JAHAZI ASILIA au TADEA?

CCM sasa wana dola, wamechoka, wamechakaa, wakiikosa je?

Sio kitu rahisi, wapinzani wa nchi ni watu waliopitia yote hayo na hadi sasa bado wanaendelea kuwa imara.

Wapo walioshindwa kuvumilia, waliondoka Kwenda CCM kutafuta unafuu wa kisiasa.

Waliobaki (labda) ni imara zaidi. Wapo ambao wapo upinzani kwa maslahi binafsi pia.

#MMM, Martin Maranja Masese
 
Wasingevumilia sana wao ndio wangeingia msituni na kuanzisha vuguvugu.
Mkuu what goes around comes around siku hazigandi ipo siku yaja labda mauti yawahi kabla ya hizo siku mbaya kwao ila wenye umri mdogo Kama polepole bashiru bashite nk kipimo wanachopimia wenzao Leo nao watapimiwa hivyohivyo Bora mrisho gambo kaomba msamaha
 
Na wao vile vile wasingekuwa na ubavu huo kama upinzani saa hivi ulivyo hauna ubavu huo
Mfano mzuri ni Sumaye ati anaonewa hahaa wakati yeye wakati anachinja wapinzani huko Zbar huku anashushia na Konyagi alikuwa anaona sawa.
 
CCM wazee hawaogopi kutenda dhambi maana hukumu itachelewa kwa umri wao ila vijana nawashangaa
 
CCM ni nani? CCM ni mfumo. Hayo maelezo yako yanaifaa chadema kwani chadema ni mtu Mbowe, CCM siyo, CCM ni kama NeNo, yote yanapita lkn CCM inasimama!
 
Kwasababu CCM inaujua udhaifu wa Mbowe ndio maana alivyoshinda kwao ni shangwe,kidumu Chama Cha Mapinduzi.
 
Kule Sudan Kwa Albashir naskia kile Chama kimefutwa kabisa!hii dunia hii!si rahisi kujua ya kesho!
 
#Anahoji Martin Maranja Masese.

Najaribu kufikiri kama CCM ndio wangelikuwa huku wengine tuliposimama. Wangevumilia?

Rais Magufuli atupiwe kesi ya AKWILINA

Rais Magufuli ameharibiwa ile hoteli na shamba lake Chato

Rais Magufuli na Mary Nagu wametunzwa Segerea siku 104.

CCM wamekatazwa kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima.

Wagombea wa CCM wote wakatwe kwenye Uchaguzi S/M

Mbunge wa CCM afanyiwe alichofanyiwa Tundu Lissu

Mbunge wa CCM (yeyote) apewe kesi ya Ugaidi na uasi

Wafuasi wa CCM wapigwe mabomu ya machozi na maji ya kuwasha.

Viongozi wa CCM 10 wapewe mashtaka wahudhurie Kisutu miaka 3 mfululizo.

Katibu mkuu wa CCM atupiwe kesi huko Songea ya uchochezi.

Job Ndugai atupiwe adhabu ya kutohudhuria vikao vya bunge siku 365.

Nape amekamatwa na kulazwa mahabusu, kosa? Kwanini ameingia Mtama bila kibali

Makamba amezuiwa kusafirisha akiwa Airport, awekwa chini ya ulinzi.

Halafu wengine wafanyiwe waliyofanyiwa Saanane, Mwangosi etc

Unafikiri CCM ingelikuwa hai? Wana CCM wangevumilia rafu hizi? CCM ingebaki na 'wachumia tumbo?

na unadhani wangehamia huko akina Katambi na Mtatiro na Slaa?

Unafikiri CCM ingelikuwa na hadhi hata ya kusimama na JAHAZI ASILIA au TADEA?

CCM sasa wana dola, wamechoka, wamechakaa, wakiikosa je?

Sio kitu rahisi, wapinzani wa nchi ni watu waliopitia yote hayo na hadi sasa bado wanaendelea kuwa imara.

Wapo walioshindwa kuvumilia, waliondoka Kwenda CCM kutafuta unafuu wa kisiasa.

Waliobaki (labda) ni imara zaidi. Wapo ambao wapo upinzani kwa maslahi binafsi pia.

#MMM, Martin Maranja Masese
kuchukua dora cdm nakufanya hivyo ilewa tanzania haipo,ulishaambiwa nchi haichukuliwi kwa makaratasi amua unachotaka,
 
Ccm ni chama cha kizalendo
Kipo kwa ajili ya Wananchi
Sema kipo kwa ajili ya kulazimisha wananchi wakipende kama huuamini usiingilie tume iwache ifanye kazi na waacheni wapinzani wapige siasa muone kama hamrudi vijijini kwenu.
 
CCM + DOLA =CHAMADOLA

CHAMADOLA-DOLA=CCM, BILA kutumia nguvu za dola vibaya CCM si chochote, watapotezana.
Kama alivyosema huyo bibi, kama vurugu wataleta hao CCM. Nakumbuka yule taxi driver aliyesema walifurahia ushindi wa CCM kwa sababu moja tu-CCM (Chamadola) ikishindwa hapatakalika. Kuonyesha wao ni chamadola babu kila siku yuko ndani ya magwanda, mara I wish I could be IGP. KATIBA JK katia kapwani na huyu hataki kuisikia kabisa kwani ndiyo inayo ruhusu udikiteta wa kichama dola. Msikilize bibi utamuelewa vizuri tu.
 
Back
Top Bottom