Najaribu kudevelop App ambayo unaweza kujifunza na kusoma Holly Quran kwenye simu yako

Uzi una lengo zuri lakini watu wa dini wamehuaribu.

Ndio maana nikasema dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika.

Ona comment zao zinavyosikitisha.
Hata mmi sikutegemea hili asee anyway mungu atusaidie sana
 
Back
Top Bottom