Naja mziwanda

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,769
2,544
mabwana na mabibi. tumezoea mabibi na mabwana muda mrefu. tumewapa hawa mabibi nafasi ya kuwa mafirst lakini hawataki so bora mabwana waendelee na ukwanza wao. au sioooo!!!!
 
Salaam ya aina hiyo inatumika zaidi Sudan,nafikiri na nchi zingine za Kiarabu kama sijakosea.
 
mabwana na mabibi. tumezoea mabibi na mabwana muda mrefu. tumewapa hawa mabibi nafasi ya kuwa mafirst lakini hawataki so bora mabwana waendelee na ukwanza wao. au sioooo!!!!
Karibu maana unakaribishwa na mabwana kwanza na mabibi watakukaribisha baadaye. Hapa ni JF nyumbani kwa wenye fikra kubwa.
 
sema timor, sasa bado kuatach picha kama hiyo yako. nipe procedures, hata wengine ambao wanajua taratibu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom