Naitwa GODFREY.J.NUNDI natafuta nafasi ya kazi yoyote

Sep 3, 2017
25
7
naitwa GODFREY JOSEPH elimu yangu ni kidato cha nne natafuta nafasi yoyote ya kazi nipo Mwanza kwa mawasiliano zaidi napatikana kwa:
0765301402
 
vigezo vyote ninavyo ila naona kama hizi nafasi zinafigisu figisu sana leo nilikuwa nimeenda kwa mkuu wa wilaya amegoma kutoa birth certificate eti mpaka hizi proces za usaili zipite yaani mambo ya ajabu sana
 
Aisee pole sana uku ni kukwamishana
Na deadline ya maombi ya jkt lini kwani?
Mpaka wakwambie usaili uishe kwanza?
 
Nafasi ya kazi hiyo hapo vigezo na masharti yote yapo hapo, sasa Mtanzania ataanza kukutafuta inbox umpigie pande ndio mwanzo wa kutapeliwa deadline ya kuomba ni tarehe 10 November.
 
Attachments

  • Assistant_Emergency_Response_Officer__Vacancy_Ad_External_Nov_2017.pdf
    322.8 KB · Views: 98
Nafasi ya kazi hiyo hapo vigezo na masharti yote yapo hapo, sasa Mtanzania ataanza kukutafuta inbox umpigie pande ndio mwanzo wa kutapeliwa deadline ya kuomba ni tarehe 10 November.

Yeyey ni kidato cha nne tu elimu yake hizo sifa zingine hana
 
Da unajina kam langu ila mm nashukuru mungu laifu sio haba kaza nyoro utatoka tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom