Naitisha maandamano kupinga kuchomwa makanisa Zanziba

Hakuna uhusiano kati ya kudai uhuru wa Jamhuri ya Zanzibar na ukristu! Serikali ya muungano na CCM si chama cha/serikali ya wakristu na wala wakristu hawahusiki kwa namna yeyote na madai ya uhuru wa Zanzibar.

Kitendo cha kuchoma makanisa ni ushambulizi wa wazi wazi dhidi ya UKRISTU, mashambulizi bila uchokozi. Unprovoked attack on Christianity!

Naita maandamano ya amani kwa wote wanaoamini katika uhuru wa kuamini bila kujali kama ni wakristu, waislamu, wahindu au wayahudi kupinga mashambulizi haya dhidi ya ukristu.

Haya ni mashambulizi dhidi ya uhuru wa kuamini!
I will be there!
 
JUMLA ya watu 30 wakiwemo wanaodaiwa kuwa viongozi wawili wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, leo walifikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali na kusomewa mashitaka ya uzembe, uzururaji na uvunjifu wa amani

Shitaka jengine walilosomewa mahakamani chini ya Hakimu Mohammed Ali Mohammed Shein hapo ni pamoja na kufanya mkusanyiko usivyo halali ambapo Mbarouk Said Khalfan (45) Mkaazi wa Taveta Meli nne na Mussa Juma Issa (57) Mkaazi wa Makadara wote wakaazi wa Mjini Zanzibar.

Valentine Andrew Katema, wakikabiliwa na mashitaka ya kufanya kitendo kinachoweza kuleta uvunjifu wa amani, ambao walishitakiwa chini ya kifungu cha 74 (1) (b) cha sheria namba 6/2004 sheria za Zanzibar TA

DUH. KUMBE TAFAUTI TULIVYORIPOTIWA NA VYOMBO VINGI VYA HABARI.
Vurugu hizi hata waumini wa kikiristo walihusika?
Na hii ndo tofauti ya upeo wa akili ZENU na za BINADAMU. Kwani wewe ukijiita KIZIWI hapa JF unadhani binadamu wenye akili zao wataamini kuwa hilo ndo jina lako halisi? Maana hilo jina la Valentine umeona ndiyo hojaaaaa hadi unarusha posti hii kila thread. Unajuaje huyo alikuwa anajihami na boko haramu akajumuishwa? Au unajuaje huyo ni system at work? Tukisema bado kidogo mbwa watawapita upeo wa akili mnaanza kuweweseka! Idiot!
 
JUMLA ya watu 30 wakiwemo wanaodaiwa kuwa viongozi wawili wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, leo walifikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali na kusomewa mashitaka ya uzembe, uzururaji na uvunjifu wa amani

Shitaka jengine walilosomewa mahakamani chini ya Hakimu Mohammed Ali Mohammed Shein hapo ni pamoja na kufanya mkusanyiko usivyo halali ambapo Mbarouk Said Khalfan (45) Mkaazi wa Taveta Meli nne na Mussa Juma Issa (57) Mkaazi wa Makadara wote wakaazi wa Mjini Zanzibar.

Valentine Andrew Katema, wakikabiliwa na mashitaka ya kufanya kitendo kinachoweza kuleta uvunjifu wa amani, ambao walishitakiwa chini ya kifungu cha 74 (1) (b) cha sheria namba 6/2004 sheria za Zanzibar TA

DUH. KUMBE TAFAUTI TULIVYORIPOTIWA NA VYOMBO VINGI VYA HABARI.
Vurugu hizi hata waumini wa kikiristo walihusika?

Karibu tule cha kitu cha nguruwe, ule kitu cha kitimoto masikio yako yazibuke utoe ukiziwi wako...
 
Yaani watu badala ya kuchangia hoja mnaanza kutukana?!!!!!!!!!!!!!!!! Mimi nazani mleta hoja ana maana nzuri tu. Shida sisi walaheri ambao tunakimbilia vituko kuliko umakini!!!
 
Jipange, shirikiana na wadau mbalimbali kupitia PM pia.
1. Unaitisha maandamano chini ya jumuiya ipi? Kama ni ya Watanzania wote itakuwa bora zaidi.
Utahitaji fedha kutangaza tarehe na saa? Yanaanzia wapi na kuishia wapi? Yanafanyika mji au miji ipi? Pia Utahitaji kuomba kibali Polisi.

Ni jambo zuri na kubwa. Jipange sawasawa au omba wadau waku-support, kama vile NGOs, Viongozi wa dini, n.k.
 
Back
Top Bottom