Naitaka nafasi ya Mkurugenzi wa Tanesco, wadau mnasemaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naitaka nafasi ya Mkurugenzi wa Tanesco, wadau mnasemaje?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Andindile, Sep 20, 2009.

 1. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Mimi ni mwana JF. Jina langu ni William Andindilile,nimesikitishwa na utendaji mbovu kwenye shirika la Tanesco na kazi imetangazwa ambapo wameweka sifa za mtu anayetakiwa kuongoza shirika hilo na mimi nikiangalia viongozi wote wa tanesco waliopita walichukuliwa kwa sifa hizo hizo na bado hawajaweza kuliondoa shirika katika wimbi la matatizo.


  Nifanyeje wana JF niikamate hiyo kazi ili niwaondoe kwenye dimbwi la matatizo ya umeme?

  Sifa nilizonazo ni zaidi ya wanazozihitaji
   
 2. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sijui na mimi niapply !?
   
 3. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2009
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu wewe apply, kama watasoma CV ni sawa, ila kama watasoma vi-note pole
   
  Last edited: Sep 20, 2009
 4. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Basi kumbe ngoja niiandike CV kwenye ki-note :D
   
 5. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hiyo inaweza kwenda nafasi kwa mtu wa kawaida kabisa kwa sababu tu ya adhabu sana na pia inakupasa kusugua sana bogo zake maana kuna dalili za note kibap
   
 6. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  So you are overqualified. Hautaitwa hata kwenye interview. Tumsikilize mwingine mwenye sifa zinazohitajika plz!
   
Loading...