Naitaji watu/ofisi ya kufanya kazi za software za simu

kizzawarlesy

Member
Dec 10, 2015
24
4
Habari wakuu, poleni na majukumu, mimi ni fundi simu nafanya hardware na software hivyo nahitaji watu au ofisi ya ku-share tufanye kazi, napatikana Dar.
 
Na mm leo nimeamka na hilo wazo. Kwa mwenye msingi wa pesa na ni still beginner anipm tunaweza fanya kitu.
 
Back
Top Bottom