Naitaji pikipiki aina ya fekon

Nauza za kwangu, ni Fekon nyekundu nimezinunua last year September ila kwa bei hio Mpwa wangu, mmmhh naogopa kukubali. Ninayomoja ilipata ajali iko home tu matengenezo yake pengine ni kama laki au laki na nusu, tulonge
 
Kuna hii hapa aina ya "Jinyee", anauza EMT, are you interested?
Kama umeipenda wasiliana na assistant wake snowhite for transaction
cc: Kongosho

piki.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kuna hii hapa aina ya "Jinyee", anauza EMT, are you interested?
Kama umeipenda wasiliana na assistant wake snowhite for transaction
cc: Kongosho

piki.jpg
Mimi hakunifurahisha ladyfurahia maana kakimbia kabisa hii ya JINYEE ilikuwa safi kwake kabisa na angetamba niyo mitaani kwani haihitaji choo, ingwawa ni CG 250 (250cc) bado inemtosha maana naona inatembea
chini ya 250 ni hatari maana ni kadogo sana hata mwendo na kazi hakataweza
 
Last edited by a moderator:
nataka isiyoikuwa na matatizo yoyote best sasa si unaona itakuwa gharama ingine ya matengenezo best hy hapana
Nauza za kwangu, ni Fekon nyekundu nimezinunua last year September ila kwa bei hio Mpwa wangu, mmmhh naogopa kukubali. Ninayomoja ilipata ajali iko home tu matengenezo yake pengine ni kama laki au laki na nusu, tulonge
 
jamani niko serous kabisa nataka aina ya FEKON AU SUNLG kwanini mnaleta utani mbele ya kazi jamani?
Mimi hakunifurahisha ladyfurahia maana kakimbia kabisa hii ya JINYEE ilikuwa safi kwake kabisa na angetamba niyo mitaani kwani haihitaji choo, ingwawa ni CG 250 (250cc) bado inemtosha maana naona inatembea
chini ya 250 ni hatari maana ni kadogo sana hata mwendo na kazi hakataweza
 
Naitaji PIKIPIKI aina ya FEKON AU SUNLG pekee hizo zingine sihitaji marafiki ona picha hizi ndo naihitaji fecon.jpg au aina hii sunl.jpg
 
jamani niko serous kabisa nataka aina ya FEKON AU SUNLG kwanini mnaleta utani mbele ya kazi jamani?
Kama upo serious kweli basi agizia upewe pikipiki za CG 250 hizo zipo nyingi sana na bei kweli chini ya 700,000/ utapata
mm nipo Dodoma zipo kwa mafundi, ninachokushauri pitia kwa wanaouza spea za pikipiki pale Kariakoo km upo DSM utapata maana spea zake ni rahisi mno, tairi la nyuma 28,000 taa kubwa 6,000
nakuomba usiweke vigezo wakikupa T-BETTER, FEKON nk CG 250 chukua zenye bei ni HONDA na YAMAHA lakini mwendo, kazi na uimara ni sawa
 
Mbona adabu mbele kama tai?

Umepotezwa na nani?

kuna bepari moja hivi!
lilinipa masharti ya nichague JF u yeye!
sasa si nikajifanya naweza kuwatosa ehehhehehheh mbona nimechemsha!
naona ndo sababu na adabu zimekuwa nyingi!
niitie King'asti anilandue kidogo bana!najihisi sio mimi kabisaaa
ila bora umekuja akili zinaweza nikaa sawa kidogo!
 
Last edited by a moderator:
jamani huu sio uwanja wenu wa kutambuana na kufahamiana ni uwanja wa kutafuta kitu ati! mbona mnakuwa hivyo bestito nifahyieni mpango nahitaji kweli pikipiki siko chitchat hapa jamani waungwana?
Mbona adabu mbele kama tai?

Umepotezwa na nani?
 
umeweka budget ndogo atleast ungeongeza laki 9,ungepata pikpik nzuri
utauziwa ugonjwa wa moyo dada angu ladyfurahia
 
Last edited by a moderator:
kwani zilizotumika zinauzwa 1.600,000/= best sasa hizo mpya itakuweje? oky acha niufuate ushauri wako ila kiasi nilichonacho ndo hicho sina kingine ndo maana naitaji hivyo best

Ngoja nicheki na wataalam i will come to you tommorow 1st thing inthe morning
 
Back
Top Bottom