Naitaji macbook air

mkalenda

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
290
23
Wakuu poleni na majukum, naitaji hiyo komputer model kuanzia 2010 kushuka chini. Ambaye atakua nayo bac tuwasiliane kwa pm or kwa cm
no yangu ya cm ni 0769038065.
Natanguliza shukrani
 
Nimekuja kama ndugu yangu Hekima alivosema, unajua tena kilimo kwanza nacho kinabana ko nilikua porini kidogo.

Tuache story mingi, mzigo unapatikana nipe kamuda nakushushia specification zake full.

Ahsante.
 
Kama uko Dar anzia pale Shoppers Plaza ghorofa ya kwanza ndio wako bei poa. Wakifuatiwa na Apple Store kule Quality Plaza, The Apple Store ya Mlimani City na mwisho ni Elite Computers walioko JM Mall na pale Upanga next to Olympio.

Kama una mtu Arusha nenda pale jengo jipya la LAPF kuna Wakenya wanauza Brand New kwa 1.5
 
nimekuja kama ndugu yangu hekima alivosema, unajua tena kilimo kwanza nacho kinabana ko nilikua porini kidogo.

Tuache story mingi, mzigo unapatikana nipe kamuda nakushushia specification zake full.

Ahsante.

dah kweli umekuja!!! Nakungoje ww mkuu!! Shuka na bei moja kwa moja mkuu
 
Back
Top Bottom