Naitaji kazi nje ya tanzania

steve_shemej

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,092
1,433
Habarini wa pendwa nimekuja kwenu kushilikisha itaji langu kwenu naitaji nafasi ya kazi ndani na hata nje ya nchi naitwa stanley nipo songea nafaham kuzungumza kiingereza kwa ufasaha naitaji msaada kwa atakae guswa mawasiriano yangu ni 0713861567
 
mungu akusaidie maana kufagia barabara za bongo kwa mwezi ni 150,000 lakin miami pale kwa mzee trump utalipwa ad dollar 20 kwa saa tu......
 
Habarini wa pendwa nimekuja kwenu kushilikisha itaji langu kwenu naitaji nafasi ya kazi ndani na hata nje ya nchi naitwa stanley nipo songea nafaham kuzungumza kiingereza kwa ufasaha naitaji msaada kwa atakae guswa mawasiriano yangu ni 0713861567
una ujuzi gani wewe
 
Nikushauri kitu.. Tafuta nchi unayoona inafaa nenda huko bila kutafakari sana riski utakayokumbana nayo huko. Jitoe mhanga stop over thinkn.. Mm nilishawai kufanya ivo.
 
Back
Top Bottom