Naitaji girlfriend mwaminifu

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
Najua wapo weng watajiuliza maswal meng sana ila ni kwel kwamba natafuta msichana ambaye baadaye atakuwa mke wangu,
vigezo
umri:asizidi miaka 23
awe tayar kupima ukimwi
asiwe mref wala mfupi sana
awe amesoma kuanzia form six na kuendelea
aliye tayar
email:samrich.youngboy20@gmail.com
WAHI NAFASI NI MOJA TU
 
1. Umri hapo nadhani humu unaeza kupata mmoja au wawili coz weng ni wakubwa sana labda 25 kuendele.
2. Elimu inaanzia chekechea mkuu, hakuna alieanzia form six
3. Umetaja vigezo unavovitaka lakini hujataja sifa zako binafsi..

FUNGUKA
 
Good for you.
they say,
Impression without expression leads to depression.

You have done your part,but i don't think this will work.
Am just a human being,that is my thought.
Best of Luck
 
siku hizi tuna taka wake wa kuoa tu.kuchezeana hapana.
je wewe mwaminifu?mia
 
Duuh! kijana umenifurahisha sana "WAHI NAFASI NI MOJA TU"
kila la kheri ndg
 
weka cv yako na wewe, bt acha kujifungia go out, meet people around, jichanganye na marafiki zako,tembelea family members wako, etc
 
Najua wapo weng watajiuliza maswal meng sana ila ni kwel kwamba natafuta msichana ambaye baadaye atakuwa mke wangu,
vigezo
umri:asizidi miaka 23
awe tayar kupima ukimwi
asiwe mref wala mfupi sana
awe amesoma kuanzia form six na kuendelea
aliye tayar
email:samrich.youngboy20@gmail.com
WAHI NAFASI NI MOJA TU

Mkuu huu ni wakati wa uwazi na ukweli. Umetoa vigezo vya unayemhitaji, tuambie na wewe tujue wajihi wako. Umeenda suna au lah, wewe ni mlevi au, unajua kupenda wewe? 'Uwezo' wako ukoje? n.k.

Yaani kuzurura kwako kote huku umekosa mpaka utafute mke kwa style hii?

Note kwa wadada!
Msikubali kuolewa kwa style hii, siku ukimtibua huyo jamaa akikwambia kuwa wewe ni 'public' woman utakataa? Maana utakuwa umepatikana kimnada mnada! teteteteteeeeeeeeee! ni mtazamo tu wanajf!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom