habari wanajanvi wenzang,naitaji gari ambayo ipo juu,isiwe chini sana,pia iwe haijaguswa engine wala tatizo lolote la kiufundi,fuel consumption yake walau iwe 14km/ltr,ikiwa Toyota ntashukuru sana,iwe manual,automatic inategemea na gari yenyew,bajeti 5mil