Jua Kuhusu Vitu unavyoweza kusoma Chuo Kikuu kutokana na ufaulu wako

Salaam,
Naomba msaada kwa mtu aliyesoma HGE ni kozi zipi anaweza soma? Naomba msaada waungwana na pia ni zipi zina urahisi wa mkopo.
Natanguliza shukran

Sent from my 2107113SG using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom